Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,161
- 1,493
Kutokana na jinsi ulivyoanza uzi wako, ni wazi wewe ni Muislamu.Habari na poleni kwa swaumu kwa wale wenzangu na mimi,Allaah aendelee kutupa nguvu.
Sifa zote njema anastahiki Allaah aliyetukuka Mola mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka siku ya mwisho.
Kama ni kuisoma number nahisi kwangu si number hii ya Tanzania bali ni kwa dunia nyingine
Naomba niende direct kwenye tatizo langu,kuna binti nimezaa naye mtoto mmoja,nimetoa mahari toka mwaka juzi,kwa imani yangu naamini nikishalipa mahari huyo ni mke wangu kisheria, sasa nashaanga binti ananambia anataka kuolewa na mtu mwingine,hivi inawezekana kweli? Vipi mahari yangu?
Wanajukwaa naomba ushauri nifanyeje nipate haki yangu,je naweza kwenda kupinga ndoa yao kanisani kwa kigezo nimemlipia mahari pia nimezaa naye mtoto hivyo ni mke wangu kisheria?
Habari na poleni kwa swaumu kwa wale wenzangu na mimi,Allaah aendelee kutupa nguvu.
Sifa zote njema anastahiki Allaah aliyetukuka Mola mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka siku ya mwisho.
Kama ni kuisoma number nahisi kwangu si number hii ya Tanzania bali ni kwa dunia nyingine
Naomba niende direct kwenye tatizo langu,kuna binti nimezaa naye mtoto mmoja,nimetoa mahari toka mwaka juzi,kwa imani yangu naamini nikishalipa mahari huyo ni mke wangu kisheria, sasa nashaanga binti ananambia anataka kuolewa na mtu mwingine,hivi inawezekana kweli? Vipi mahari yangu?
Wanajukwaa naomba ushauri nifanyeje nipate haki yangu,je naweza kwenda kupinga ndoa yao kanisani kwa kigezo nimemlipia mahari pia nimezaa naye mtoto hivyo ni mke wangu kisheria?
Ora bwana, kwa hio amuache aolewe na ndoa ikimshinda arudi kwa jamaa sio?kama kaamua hivo let her go
usihangaike sana kama haikua ridhiki yako ,itakuja ya kwako
kuwazuia na kupinga ni kujiongezea stress tu!
mwache akaolewe,akajifunze maisha ,dizaini kama anaenda mafunzoni
akishajifunza maisha akirudi mpokee
na wewe pia utakua likizo haijalishi miaka mingapi..
akirudi mpokee ,atakua na adabu njema kabisa..
waache waoane kwa amani na wewe ishi kwa amani..
akirudi mpokee kwa amani
mweke ndani kwa amani!!!
Mwenyezi Mungu atakuzidishia.
Mungu hawezi kumzidishia kwa kumpokea Huyo .....naamini hvyo.kama kaamua hivo let her go
usihangaike sana kama haikua ridhiki yako ,itakuja ya kwako
kuwazuia na kupinga ni kujiongezea stress tu!
mwache akaolewe,akajifunze maisha ,dizaini kama anaenda mafunzoni
akishajifunza maisha akirudi mpokee
na wewe pia utakua likizo haijalishi miaka mingapi..
akirudi mpokee ,atakua na adabu njema kabisa..
waache waoane kwa amani na wewe ishi kwa amani..
akirudi mpokee kwa amani
mweke ndani kwa amani!!!
Mwenyezi Mungu atakuzidishia.
sio ikimshindaOra bwana, kwa hio amuache aolewe na ndoa ikimshinda arudi kwa jamaa sio?
ukitaka kuishi vizuriMungu hawezi kumzidishia kwa kumpokea Huyo .....naamini hvyo.
Dah hamna....kumkataa sio kulipa kisasi,ukitaka kuishi vizuri
usilipize kisasi..
STRESS is caused by giving a Fck..
Kama ulilipa mahari bila kupewa risiti imekula kwako...tafuta mwingine na uhakikishe umedai risiti!