funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,650
- 21,522
Akili kubwa sana hiiWanawake walivyo wambea week moja tu lazima wajue...
Tafuta sababu yakugombana na huyo mchepuko upige chini uvute chuma ingine
Sent using Jamii Forums mobile app

ni kukaaa kimya tuu kusubiri kibomu kiripuke tuu.Kuna kibomu nakiona kitaripuka hapa siku za karibuni.
Kitu kinachonitia wasi wasi nikwamba kabla sijaoa nilikuwa na mwanamke flani hivi (japo amenizidi umri kidogo)
Lakini baada ya kuoa nikawa bado namega siku moja moja. Sasa tangu mwaka huu umeanza naona mama watoto amekua karibu na Yule mdada ambaye ni mchepuko wangu. Maana ni majirani
Wamekuqa marafiki kiasi kwamba sasa mke wangu huwa ana mmisi Dada yake na kumtembelea kwake siku moja moja.
Mchepuko yeye anajua ukweli ulivo lakini mke hajui.
Sasa hapa ni mguu pande mguu Sawa... Huyu mke akija akijua MOTO UTAWAKA.
Njia ipi nyepesi ya kuliepuka hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna[emoji3]ni kukaaa kimya tuu kusubiri kibomu kiripuke tuu.
DuWanawake watu wabaya sana naadui wamwanamke nimwanamke mwenyewe.
Nakumbuka mwanamke wangu alibamba mawasiliano ya mchepuko wangu wakachambana sana kwenye simu ila badae mchepuko ukawa mpole nakuomba samahan nakusema kuwa niliudanganya kuwa mimi nipo single...... Kwahiyo lawama zote zikahamia kwangu..... Wakawa marafiki mchepuko ukanipiga chini. Chaajabu baada yamasiku kupita nilikutana na mchepuko nikaupoza machungu nauchi ukanipa na mpaka leo nikihitaji napata ila nimarafiki namwanamke wangu mpaka kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh tehMbadilishie line mkeo kisha mhame hapo tafuta mkoa ukajifiche.
Simple tu haha
Muombe mkeo akuunganishie huyo mchepuko!😅😛😛Kuna kibomu nakiona kitaripuka hapa siku za karibuni.
Kitu kinachonitia wasi wasi nikwamba kabla sijaoa nilikuwa na mwanamke flani hivi (japo amenizidi umri kidogo)
Lakini baada ya kuoa nikawa bado namega siku moja moja. Sasa tangu mwaka huu umeanza naona mama watoto amekua karibu na Yule mdada ambaye ni mchepuko wangu. Maana ni majirani
Wamekuqa marafiki kiasi kwamba sasa mke wangu huwa ana mmisi Dada yake na kumtembelea kwake siku moja moja.
Mchepuko yeye anajua ukweli ulivo lakini mke hajui.
Sasa hapa ni mguu pande mguu Sawa... Huyu mke akija akijua MOTO UTAWAKA.
Njia ipi nyepesi ya kuliepuka hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu ya Kiwendawazimu kwa maswali ya kijuhaSIO VIBAYA KWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUSHIRIKIANA NA ILE YA MAMBO YA NJE
Endelea kula kimasihara...yaani ukimtosa tu huyo mchepuko atafanya vituko mpaka mkeo ajueKuna kibomu nakiona kitaripuka hapa siku za karibuni.
Kitu kinachonitia wasi wasi nikwamba kabla sijaoa nilikuwa na mwanamke flani hivi (japo amenizidi umri kidogo)
Lakini baada ya kuoa nikawa bado namega siku moja moja. Sasa tangu mwaka huu umeanza naona mama watoto amekua karibu na Yule mdada ambaye ni mchepuko wangu. Maana ni majirani
Wamekuqa marafiki kiasi kwamba sasa mke wangu huwa ana mmisi Dada yake na kumtembelea kwake siku moja moja.
Mchepuko yeye anajua ukweli ulivo lakini mke hajui.
Sasa hapa ni mguu pande mguu Sawa... Huyu mke akija akijua MOTO UTAWAKA.
Njia ipi nyepesi ya kuliepuka hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww jamaa ni mjinga sana hahahaSIO VIBAYA KWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUSHIRIKIANA NA ILE YA MAMBO YA NJE