''bia huwa nakunywa maramojamoja sana''. hahahahaa kila lakheri kaka
imeandikwa mke mwema hutoka kwa bwana ....sasa wewe huku unatafuta nini?nahitaji mke mwema,awe na umbo kubwa kidogo(mnene wastani) miaka 20-25, elim chuo au f4, mimi nina 30yrs mnene,urefu wastan, kipato changu kwa mwez ni 150 000/tu. Bia huwa nakunywa maramojamoja sana, aliye tayari njoo pm
vp kibuku''bia huwa nakunywa maramojamoja sana''. Hahahahaa kila lakheri kaka
Mshahara wenyewe c unauona akinywa kila siku itakuaje hahahahah
imeandikwa mke mwema hutoka kwa bwana ....sasa wewe huku unatafuta nini?
Ila kwa umri wako weka bidii kwenye kutafuta maendeleo,watakuja wenyewe.
Kama kuosha rungu nenda buguruni buku 2 kwa bao.
Nahitaji mke mwema,awe na umbo kubwa kidogo(mnene wastani) miaka 20-25, elim chuo au f4, mimi nina 30yrs mnene,urefu wastan, kipato changu kwa mwez ni 150 000/tu. bia huwa nakunywa maramojamoja sana, aliye tayari njoo PM
imeandikwa mke mwema hutoka kwa bwana ....sasa wewe huku unatafuta nini?
Ila kwa umri wako weka bidii kwenye kutafuta maendeleo,watakuja wenyewe.
Kama kuosha rungu nenda buguruni buku 2 kwa bao.
Huyu jamaa nimependa uwazi wake bigup, halafu nimjanja sana hapa katega aone nani atakubali kuolewa kwa salio dogo hilo, lakini atakua na kipato zaidi mi ndo ninavyo fikiri, movi kama ya Amanda (BEST WIFE)