Mimi nataka kuoa lakini kila nikichumbia mwanamke ananiuliza unafanya kazi gani nikimwambia sina kazi,biashara inaishia hapo.wakuu naomba ushauri nifanyaje kuhusiana na jambo hili.
wewe tatizo genye zinakusumbua, na unaona solution ni kuoa!! sasa kwa hali uliyonayo ukioa genye zitaisha ila si kwa kula tunda la kati bali kwa stress utakazopata!!
Mbona unalialia kwan we una shilingi ngapi?
Ndooorobo wewe yani huna kazi unawaza kuoa!!!
Wenzako tumeyakimbia mapenz kuwekeza kwanza rasilimal wewe unawaza kuoa hata kazi huna mkuu?
NB- MWANAUME BILA PESA NI SAWA NA KUVUNJIKA M*OO tafakari chukua hatua mkuu.