wanapenda wanawake wa kichaga sababu wanajua kutafuta pesa.....ila 6x6 = 0....wapare wazuri kwa kubana matumizi....nimesikia tu.
hapana,alikuwa kapuku kabisa, hahaha hayo ni matani tu, mahari zetu za kawaida sana, debe za mbege hazikosekani, hahaha
🙂 kweli na utani huu ndio uliowaweka mababu zetu karibu, mnataniana mkimaliza mnacheka mnaendelea na siku zifuatazo.., ila issue ya wazazi kutaka mwanao aende kwenye mtu mwenye uwezo wa kumtunza siwalaumu sana kila mzazi anataka mazuri kwa mwanae labda tu wakizidi na kuchukulia mali zaidi ya upendo, badala ya upendo then mali.. Ila ninachowasifu wachagga ni moyo wa kusaidiana na kutokuwatupa watu wa kwao na kupeana mtaji mfano tofauti na wahaya wanaoneana wivu na mtu hakusaidii sababu unaweza kumzidi, na akikusaidia kila mtu atajua
ning'ate sikio basi maana mie kwa umbea sijambo....
Mkuu Bujibuji Wamenska kula dodo da yanga isa laa. mimi ni Mzaliwa wa Dar lakini ni Mzaramo wa Bagamoyo wewe ni mtu wa wapi?MziziMkavu nasikia ni Mchagga wa Kiwira
Nkiona watu wanajinadi ubora wa makabila yao ndio naamini dhana ya ukabila haijaisha kwenye fikra za watanzania walio wengi
Mke mwema anatoka kwa Mungu
Katika hizo picha hapo, kwa kweli sioni uhalisia,hasa kwa Mpare, ila kwa mchaga inawezekana kwa sababu huyo ,mwanaume lazima atakuwa na pesa , lakini mwanamke wa kichaga akupokee hivyo halafu huna mbesa, kiruuuuuuuuuu! sijawahi sikia, yaani tena hana kwenye sakalamenti takatifu atakwambia hana hamu, wewe badala ya kwenda kutafuta mbesa unataka ngono, ukifanya hiyo ndio utapata hizo mbesa huku kwenye k yangu?
umeonaeeee, waambie msacha oko waambie yaan le waambie bwana....:becky:
Mi mpare wa Tandahimba, karibu sana kwetu MziziMkavuMkuu Bujibuji Wamenska kula dodo da yanga isa laa. mimi ni Mzaliwa wa Dar lakini ni Mzaramo wa Bagamoyo wewe ni mtu wa wapi?