Mke mwema nani amjuaye?

Ila jua Jana ngumu kupata alie na sifahizo mojakwamoja
 
Sifa hizo za mke mwema kuzipata zote siku hizi imekuwa adimu sana sawa na kutafuta bikra kwa changudoa.
 
Tupo wachache itabid tupelekwe kwenye makumbusho ya Taifa
 
Nadharia na vitendo tafauti ungekuwa nadharia na vitendo ni sawa ningetafuta kwa gharama yoyote kama hujaolewa. Ila kwa kuwa najua hilo hata sioni umuhimu wa andiko lako hukuna uliwezaye hata uliyeandika huliwezi.
 
Tupo na humu tumejaa tele.
mm nikiwa mmojawapo. mume wangu analijua hili. teh teh. jifagilie mwenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…