Hii inawahusu mabinti warembo, waadilifu na wachaMungu pamoja na wa kaka wanaopenda kuwakuwadia Dada zao.
Maisha ni style na historia, baada ya kula bata sana katika dunia hii kwa miaka 28 sasa nimeamua kuoa. Nataka kuweka historia ktk maisha ya ndoa mimi na mke wangu ambaye natarajia kumpata kupitia JF tu nasio kwingineko kwani JF wanapatikana ma Great Thinker hivyo uendeshaji wa familia hautasumbua kabisa.
Hivyo Mdada ambaye unajiona unasifa zinazostahili plus sifa muhimu 10 zifuatazo
1. Binti awe na umri kati ya miaka 19 na 26 ( Walio na 27 na 28 nao maombi yao yatapokelewa pia)
2. Binti awe mhitimu wa shahada (degree au masterz) mabinti wenye Elimu ya Diploma hasa za uwalimu mtapewa kipaumbele pia
3. Binti awe mwanafunzi wa Chuo kwa Degree, masterz au Diploma ya ualimu au sheria
4. Binti awe Mkristo na Mcha Mungu Sana
5. Binti anaekunywa wine na Bia kwa Afya maombi yake yatashughulikiwa
6. Binti awe Mtanzania wa Kabila lolote but Msukuma na Mchaga watapewa watapewa kipaumbele
7.Binti awe mzuri wa sura asiwe Bonge sana wala mwembamba kupitiliza samahani Mabinti wanene na wenye makalio ya haja mie huwa cvutiwi nanyi
8. Binti awe mvumilivu kuolewa na kijana anayetumia Pombe
9. Binti awe na historia ya kutokuwa na Maboifrend (wapenzi zaidi ya watatu toka avunje ungo
10. Binti Bikra atapewa kipaumbele sana
Njoo tuandike historia mpya ya maisha ya mapenzi na ndoa kupitia mtandao wa kijamii kwani siku hizi kupata binti au kijana kitaa kwa macho ni ngumu mabinti waliotulia kuwatambua kwa macho ni ngumu. Changamkia nafasi ili tufunge ndoa ya kihistoria Julai 2013.
Mwenye nia ya dhati kutoka ndani ya moyo wako kabisa tafadhali ni PM kama huna nia potea kumbuka hapa anahitajika Mke mwema nasio Girlfriend
Pia unaweza kuwacliana nami kupitia email edgardavid2012@yahoo.com