Mungu anakujua mwanadamu kabla hata hujazaliwa. Yeye ndie anaweza kukupa mke/mme mwema kwa vile ndie hasa akujuae leo na kesho.lakini hadi umwombe akutafutie,usipomwomba shetani atakutafutia,yeye shetani hasubiri karibu. Figure 8, sijui urembo,sijui nini vyote ni vitu vya kupita. Leo atakuwa hivi kesho anabadilika. Wema/tabia inayoendana nawewe ndio hubakia. Si rahisi wewe kuiona bali mungu anaweza .mtegemee yeye utaopoa bingo.