Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu sijampata ninayempenda.
Ninahitaji mwanamke mwembamba mrefu akiwa mweupe au mweusi yote sawa. Umri kuanzia miaka 25-30 . Sibagui dini wala kabila. Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0692490341.
Meseji zitajibiwa. Karibuni sana.