Mke mwema anahitajika

mlossy

Member
Jun 25, 2012
40
34
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu sijampata ninayempenda.

Ninahitaji mwanamke mwembamba mrefu akiwa mweupe au mweusi yote sawa. Umri kuanzia miaka 25-30 . Sibagui dini wala kabila. Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0692490341.

Meseji zitajibiwa. Karibuni sana.
 
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu sijampata ninayempenda. Ninahitaji mwanamke mwembamba mrefu akiwa mweupe au mweusi yote sawa. Umri kuanzia miaka 25-30 . Sibagui dini wala kabila. Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0692490341. Meseji zitajibiwa. Karibuni sana.
Mara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyejitokeza? Mbona kama kanuksi...

Ulichokosea ni kusema una Masters afu wewe ni mtumishi wa uma. Kijeiefujeiefu, Masters na utumishi wa uma sio big deal... Ungesema una miliki mamilioni ya mahela na dushe kubwa kama la jogoo, ungekutana na foleni moja balaa la wachuchu...

Dunia imebadilika jombaa...
 
Siwezi kufake life coz I'm not dramitizing here. Hayo maisha wanayaweza wasanii kaka. Kuuvaa uhusika usiokuwa wako inahitaji ujasiri wa aina yake.
 
Mara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyejitokeza? Mbona kama kanuksi...

Ulichokosea ni kusema una Masters afu wewe ni mtumishi wa uma. Kijeiefujeiefu, Masters na utumishi wa uma sio big deal... Ungesema una miliki mamilioni ya mahela na dushe kubwa kama la jogoo, ungekutana na foleni moja balaa la wachuchu...

Dunia imebadilika jombaa...
Hahahha
Ila we mzee nimecheka sana
 
Haya mambo ya kusema hujapata unaemtaka.

Hivi wanawake wamegeuzwa km nguo za kariakoo sio?

Yaani umefaidi hiko pm mapichapicha ya wadada wa watu leo hii wanaona post ingine eti sijaridhika!

By the way this tym utaokota nazi mbovu zaidi.
Ulijaribu ukatuma na picha kabisa? Mjukuu unajua kujilipua ... shkamoo sana
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom