Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
Acha kufanya generalization.
Siyo mpango wa mungu kuwa na ndoa zisizo na furaha. Hivyo lengo langu hapa ni kuwapa moyo wale wote walio kwenye ndoa zisizo na furaha kufanya maamuzi magumu. Wake kwa waume. Na ninaposema ndoa zisizo na furaha sina maana ya vi ugomvi vidogo vidogo. I mean serious problems ambazo juhudi za kuzitatua zimeshindikana.
Hii tabia inatokana na maadili ya kabila lako
mm nipo huku Kanda ya kati Wanyambwa/Wagogo akishamalinza Jando na unyago wanaruhusiwa sasa kutaste na Binti yeyote na hazuiwi kubadili au kubadilishana huku wakijitambua uhawara (Mnyaso) sasa hapo mimba utasema ni ya nani?
Na huyo Hawara anaolewa jirani lakini hamuachi hawara yake wa zamani na hata km walizaa naye wataendelea tu. Huo ndio utamaduni wao wewe huwezi kuwapinga ukaleta mapya
Usimuhusishe MUNGU na hizo zinaa kwani mnaambiwa usimuache Mke wa ujana wako kwa hiyo funga Ndoa inayotambulika na watu wakashihudia hamtakaa muachane bila ya vikao
siku hiz vijana wakipata kazi tu hata ya kuppiga debe daladala anapanga chumba na mkeka anvuta demu watu wanamuhesabia kuwa ana mke, tabia hajuani mwezi mbimba na jamaa Daladala kafukuzwa kweli hiyo ni Ndoa?
Tofautisha uzinzi na Ndoa km Wazazi mkiwa wakali watoto hawatachezea maisha wawe na Mpango salama wa Uzazi 'Nyota ya Kijani' na muongazane Kliniki km hutaki unaacha