Michael Edson
Member
- Mar 16, 2021
- 36
- 63
Ulikwisha muamdaa toka utotoni huko ikawa kumbukizi na kutimiza wajfu.facebook, ila tulikuwa pamoja utotoni kanisani sunday school. Mwaka wa saba sasa...
๐PoleNililetewa na ndg yangu fulani kutoka bushi, ila achana na mke wakuletewa duh!!!!!
wala sikumuandaa tulipotezana 18 yrs, hatukuwa na yoyote mahusiano utotoni ,nili like kapicha Fb ,nikaulizwa inbox are you obama wa bongo nikamjibu yes ni mimi.. akaniomba simu no anisalimie nikampa! kwenye stori akaniuliza unafanya kazi wapi nikamtajia,Kumbe kila mara anakuja ofisini kwetu ila kitengo tofauti... mara kaanza kupita na ofisini kwangu kunisalimu kama mdogo wangu anajitambulisha ili ahudumiwe fasta...baada ya miaka 2 kasoro nikasema haiwezekani lazima nimtafune hakuna cha ukaka hapa japo nilikuwa kwenye uhusiano mwingine wenye changamoto ! Duh kutest tu imooo,yaaani sikupata pingamizi lolote , miezi najishangaa tu nipo madhabahuni ,nauza uhuru wangu kwa huyu binti ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ ishu ilikuwa tu ofisini wanashangaa uonao mdogo wako??......Haya maisha bhanaHuyo ni mkeUlikwisha muamdaa toka utotoni huko ikawa kumbukizi na kutimiza wajfu.
Welcome cz hata Niko single.Naamini atapatikana popote cha muhimu awe ni mtu sahihi, inaweza kuwa kwenye daladala,kanisani, fb ama hata humu jf[emoji2369] na ntaleta mrejesho mkuu
Wow kwahiyo tuungane tulete mrejesho humu kwamba tumekutana humu humu๐๐Welcome cz hata Niko single.
Welcome cz hata Niko single.
๐๐๐Pole sanaNililetewa na ndg yangu fulani kutoka bushi, ila achana na mke wakuletewa duh!!!!!
Itapendeza zaidi kwan maisha ni popote.Wow kwahiyo tuungane tulete mrejesho humu kwamba tumekutana humu humu[emoji3][emoji3]