Mr Zawadi Ngailo
Member
- Mar 2, 2013
- 25
- 20
Utampata kwa njia ya kutambua asili ya ndoa na kujua mwanzilishi wa ndoa na kanuni na taratibu za kufuata
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1 :27
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Mwanzo 1 :28