Mke mbishi ndani ya nyumba

Unajua hasara ya kufanya mambo yako kimya kimya ikitokea umekufa ghafula kila kitu kinapotea,hata watoto hawatajua jiangalie upya na utafute njia ya kumuelimisha.
 
Unaanzaje kumdhibiti mtu mzima? Wanaume wengi wanajidanganya sana hapa, kama ni tabia yake hesabu umeumia. Vinginevyo haki sawa zitacheza na wewe.

Mara zote nasisitiza sifa ya mwanamke anayefa kuwa mke ni UTII. Kama hakuwa nayo hiyo tangu mwanzo basi jua umeoa fahari mwenzio. Mwanamke asiye aibu ni jike dume, hata kama watachukia hii kauli. Tumepewa kibesi kwa sababu.
 
Pole mkuu hilo ni chaguo lako

Sent from my vivo X21 using Tapatalk
 
Unavuna ulichopanda

god is good
 

Mwanaume ukiwa na kale kautaratibu cha kupiga makofi heavy ubishi utausikia kwenye Radio tu


Sent using IPhone X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…