hahaha,labda jamaa wa pili alikuwa anamtafuta small house,sasa bibie kumuona mumewe akaingia mtini.sasa mwizi ako smart,akastukia tunamtafuta the same woman na huyu ndo mwenye mali.akamyeyusha!i bet jamaa alijiondoa 2mins later kwaa simu ya uongo na cart akaiacha hapo,hahaha
No wonder ukipata a guy you dont know where you are with him...
stop wondering gal,enjoy the momentos.let him do all the wondering including the reason u hooked up with him,lol
hahah maskin,,,, kamsamehe kwahiyo lool nyie wanaume wabayaa nyinyi ,,hahah