Mke, Mama na Muajiriwa - Unashika lipi?

Mke, Mama na Muajiriwa - Unashika lipi?

Mim nashindwa elewa sehemu moja mbona waarabu wa hapa bongo hawajasoma lakini wanamudu familia zao vizuri mf wanawake wengi wa kiarabu au wahindi ni wamama wa nyumbani baba analeta kila kitu sisi waafrica ndo tunahangaika na elimu,elimu,elimu ooh nimesomeshwa..nimesomeshwa..lazima niitumie niitumie elimu..ukijiuliza unaitumia kwenye nin hamna cha maana mtu anathamini marupu rupu kisa ooh mazuri..mim naomba Mungu anisaidie nipate mke kama hawa wadada wa hapo juu na nitajitahidi kuhudumia kwa kila kitu na vimiradi vidogo vidogo maana naona faida za bi mkubwa wangu kua mama wa home amenipa misimamo inayonisaidia na kuniongoza ktk maisha yangu..thank you mama for beibg there for me. Ingawa haioni post yangu..over..!!!
 
Kwa ufupi sana nianze na preference zangu kuhusu uafadhali wa mke... Mwenye kipato lakini yupo available nyumbani > aliyepo available lakini hana kipato> mwenye kipato lakini hayupo available...
hiyo ya kwanza ingekaa vizuri kama ingekuwa asiye na kipato lakini yupo available nyumbani, i.e. ungekuwa na option 2 tu tungekuelewa zaidi. wewe unataka vyote?
 
Kama uwezo upo wa kutosha, mama akae nyumbani aangalie watoto awafunze adabu na heshima, pia nikija mume anipokee anitengee chakula , aniwekee maji ya kuoga. sio nije nianze hudumiwa na beki3 na mama ndio vile na usafiri wa dar mpaka saa 3usiku ndio namuona anaingia nyumbani!

lakini kama uwezo bado hauruhusu na namna hakuna, itabidi mama aendelee kufanya kazi mpaka hali itapokuwa njema. au mama umfungulie mradi karibu na nyumbani ili awe karibu na watoto.
 
hapo unapozungumzia 'gharama' ndo kwenye suala lenyewe,
kuna watu wanatamani 'gharama' zao zingekuwa kwe pesa ili wajue ni 'sh' ngapi.!
 
hiyo ya kwanza ingekaa vizuri kama ingekuwa asiye na kipato lakini yupo available nyumbani, i.e. ungekuwa na option 2 tu tungekuelewa zaidi. wewe unataka vyote?

Ndio maana mi nasema kama hakuna kazi inayoweza kumuhakikishia mke at least masaa manne nyumbani ambapo watoto wanakuwa macho, then bora asifanye kazi. Halafu kuna kina mama wengine sijui walilishwa miguu ya kuku?!... Vikao vya harusi vyote yumo, na vya send-off na kitchen party, yeye ndiye mtoa mada kwenye kila kitchen party, kwenye upatu yumo, saluni masaa sita kila wiki, sokoni masaa kumi kila wiki, sijui wapi na wapi!!! yaani hata kama kazi haimbani, lakini kutulia na watoto nyumbani kwake mwiko....
 
mimi kama mke, mama, na mwajiriwa lazima nipange muda wangu vzr wa kuwa na familia, mume na watoto. Mume pia

anajua kuwa mke wangu ni mwajiriwa hivyo hawezi kufanya kila kitu kama mama wa nyumban. kinachofanyika ni

kusaidina mimi na yy ktk malezi ya watoto wetu + uwepo wa HG. Kwakuwa tumeliona suala la mm kufanya kazi ni bora

zaidi hivyo tunajituma sn kuilea familia na kuelekezana pale tunapoona 1 ameanza kulega. Nashukuru mungu maisha

yanakwenda vzr, watt wana adabu, na afya njema.

Ungekuwa wa msaada zaaidi kwa wenzio kama ungedadavua unapangaje huo muda wako; maana kusema kupanga vizuri na kutoa maelezo yasiyo specific hakusaidii sana. Ofcourse kuelewana na spouse wako ni kitu muhimu, lakini tueleze HOW do you manage; siku yako na juma lako vinakuwaje ratibawise.
 
wewe acha tu, wakati mwingine hatuendi kazini kwaajili ya mshahara tu, sababu nyingine ni 'status'! wengi tunadhani nikionekana nimeajiriwa sehemu fulani basi mimi ni tofauti na yule anayekaa nyumbani, anaonekana elimu yake haijamsadia, mimi nimesoma lazima nitumie elimu yangu, n.k n.k haya mambo ndio yanatucost sana. Wanawake tunapaswa kutafuta 'status' kwa namna nyingine, japo mara zote nyie wanaume ndio mnachangia, wewe bachelor hebu fikiria unataka kuoa na umekutana na warembo wawili, mmoja ameajiriwa mwingine yupo yupo tu home, wa kwanza kumfikiria atakuwa yupi? si utaona huyu kula kulala ni mvivu!

Naunga mkono hoja, hili la status ambayo iko defined na wengi wetu kwa kuajiriwa inacost sana na linatufanya tuache vitu vya msingi na kutumia nguvu, muda na akili zetu kwenye vitu ambavyo vinaweza kuwa na some impact kwa jamii lakini kwa gharama za familia ambayo kwa msingi ni our first responsibility.

As a single mother sina option zaidi ya kufanya kazi ili niweze kuprovide kwa my family, lakini pia sina majukumu ya mke so somehow situation is not 100% the same.
 
Thats ok.

Wengi wanaumia kuacha familia zao kwa ajili ya kazi maana asipoenda kazini ni tatizo kwa familia. anakutana na stress nyingi kupitiliza hakini hana jinsi maana kipato cha familia ni kidogo; akisema aache amtegemee mume muathirika wa kwanza anakua yeye. hawa wanatamani wapate uwezo ili waachane na kuajiriwa ili wajiajiri wenyewe ili kupata muda mzuri na fsmilia zao. Kuna wengine ambao kazi zao ni wito wa kutumikia jamii na wako real committed hawa familia iwe na uwezo isiwe na uwezo haijalishi.(seems you are here)

Mwisho wa siku dada yangu, mtu hata afanye kipi kizuri kwa wengine ila awe ameshindwa kuilea familia yako vizuri, atakuwa ameshindwa. charity beigis at home.

Mbona mume wangu ana uwezo wa kutosha kila kitu kipo. Mshahara wangu nautumiaga mwenyewe na yy huniongezea.

kazi kwangu ni muhimu bse, nimesoma na napenda kuwahudumia watu kwa elimu niliyoipata. Mfano, nimepata matatizo

job kwangu cjapata salary mume wangu kaniambia nitakupa huo mshahara na hela za matumizi pia.
 
Ungekuwa wa msaada zaaidi kwa wenzio kama ungedadavua unapangaje huo muda wako; maana kusema kupanga vizuri na kutoa maelezo yasiyo specific hakusaidii sana. Ofcourse kuelewana na spouse wako ni kitu muhimu, lakini tueleze HOW do you manage; siku yako na juma lako vinakuwaje ratibawise.

Ok mamii, ni hv. kwa bahati nzuri nafanya kazi mkoani ambapo suala la usafiri co shida sn. Siku zote huwa tunaamka asubuhi kwa ajili ya kufanya ibada, baada ya hapo ni maandalizi ya kwenda kazini, tunaondoka saa 1 asubuhi tunamtoa mtoto kwa dada yake (HG) bse chumba chetu tunafunga.
Nikiwa job lazima niwe nawasiliana mara kwa mara na HG, saa 4 muda wa tea, narudi home kuchek kama kila kitu kiko Ok. Mume wangu nae huwa anauliza kama nimewasiliana na HG kujua kama baby yuko Ok, kama cjapiga niko busy namwambia apige ajue wanaendeleaje.
Kazi namaliza saa 9.30 by saa 10.00 kamili nishafika home, najishughulisha na shughuli za nyumbani, na kucheza na mtoto. kuchelewa huwa ni mara chache sn kama napitia mahali.
Siku za wikend ni usafi, kupika, na kumuangalia mtoto. n.k. uzuri cnaga mashughuli mengi ya nje na nyumbani.
Nawasilisha.
 
That's better and it wasn't so hard kufunguka l presume.
Hongereni kwa kujitahidi na msiache kumshukuru Mungu kwa kuwafanikisha yote hayo.
 
That's better and it wasn't so hard kufunguka l presume.
Hongereni kwa kujitahidi na msiache kumshukuru Mungu kwa kuwafanikisha yote hayo.
Ahsante mamii, may i ask if hutojali. Y uko a single parent?
 
Thats ok.

Wengi wanaumia kuacha familia zao kwa ajili ya kazi maana asipoenda kazini ni tatizo kwa familia. anakutana na stress nyingi kupitiliza hakini hana jinsi maana kipato cha familia ni kidogo; akisema aache amtegemee mume muathirika wa kwanza anakua yeye. hawa wanatamani wapate uwezo ili waachane na kuajiriwa ili wajiajiri wenyewe ili kupata muda mzuri na fsmilia zao. Kuna wengine ambao kazi zao ni wito wa kutumikia jamii na wako real committed hawa familia iwe na uwezo isiwe na uwezo haijalishi.(seems you are here)

Mwisho wa siku dada yangu, mtu hata afanye kipi kizuri kwa wengine ila awe ameshindwa kuilea familia yako vizuri, atakuwa ameshindwa. charity beigis at home.
Ni kweli mkuu, familia ndio kila kitu asikwambie mtu. hata mm mwanangu akiumwaga aisee ckai job kwa raha narudi mapema nyumban kumwangalia. wakati mwingine naomba ruhusa ili nimuangalie mm mwenyewe.
 
Ahsante mamii, may i ask if hutojali. Y uko a single parent?

i am a parent coz l am a mother to my lovely 12 years old son, whom l adore mpaka basi; single coz l am not married. Nami nikuulize kwani nini umejiita deepa?
 
i am a parent coz l am a mother to my lovely 12 years old son, whom l adore mpaka basi; single coz l am not married. Nami nikuulize kwani nini umejiita deepa?

thanx kwa kunijibu nilihofia kdg. Deepa ni jina la kihindi kwa mtoto wa kike lina maana ya chemli. basi tu nililipenda. Kuna mtu pia humu amelishangaa asa cjui lina shida gani?
 
thanx kwa kunijibu nilihofia kdg. Deepa ni jina la kihindi kwa mtoto wa kike lina maana ya chemli. basi tu nililipenda. Kuna mtu pia humu amelishangaa asa cjui lina shida gani?

linasound kama deeper kwa lafudhi ya kiswahili ukiacha cha kina Diva na wamarekani; so it got me thinking of the dirty bedroom words. LOL
 
linasound kama deeper kwa lafudhi ya kiswahili ukiacha cha kina Diva na wamarekani; so it got me thinking of the dirty bedroom words. LOL

Yaan ckujua kama italeta huo mkanganyiko..poa uwe na uck mwema, hi to a big boy of yours.
 
Habari wadau? Natumaini mna enjoy weekend yenu vizuri.
Kwa muda mrefu sana ninatafakari nafasi yangu kama mama katika familia, naona umuhimu wa mama kuwepo nyumbani muda mwingi ili kuangalia mambo yanavyokwenda hapo nyumbani yahusuyo afya ya watoto, mume, chakula, usafi wa nyumba n.k na nimeshuhudia familia nyingi ambazo mama anakuwepo muda mrefu zina maendeleo mazuri tu, ni mara chache kukuta watoto watukutu au wenye tabia za hovyo hovyo kwani mama anasimamia vema nidhamu ya familia. Japo zipo pia familia CHACHE hata mama ashinde masaa 24 mambo bado yatakuwa hovyo!

Sasa basi huu utandawazi umetushika pabaya wanawake, na sisi tunataka kutumia elimu zetu kwa kuajiriwa maofisini, binafsi naona hakuna ubaya hapo kwani ni kuongeza kipato kwa familia. Kinachonitatiza ni pale ambapo majukumu haya mawili yanapoingiliana na kuharibu mfumo mzima wa maisha. Mfano hai: Mimi ni mama na pia nimeajiriwa, najikuta niko njia panda wakati huu ambapo nina watoto wananihitaji nyumbani kuangalia maendeleo yao na mume pia angependa kuhudumiwa na mkewe na kufanyiwa mengine mengi badala ya kuajiri housegirl, na kazini ndio hivyo tena kuanzia asubuhi hadi jioni kama sio usiku, unaondoka watoto wamelala unarudi wamelala! Familia unaipenda na kazi unaitaka, hapo unajigawaje? Kuna mambo mengi sana yanatokea nyumbani tunapowaacha watoto wetu na housegirl kwani hawana uwezo wa ku-handle mambo hayo kama ambavyo mama angefanya.

Wenye situation kama hii plz tupeane mawazo, mnakabiliana vipi na majukumu haya yote mawili? hata wanaume pia mko katika msimamo upi, unataka mkeo aende kazini na kuacha nyumba mikononi mwa housegirl au abaki akusubiri ulete kila kitu (bila kumnyanyasa!).
NB: Najua wapo watakaozungumzia kujiajiri lakini huko nako pia nina mengine mengi ya kueleza.

Kwa kulijua hili tu, wewe ni mke ambaye mmeo lazima ajivunie! Nimeshuhudia wanawake wengi tu ambao ya familia yamewashinda na kushika ya kazini pekee! Binafsi niliamua kuoa mama wa nyumbani! Jamani napita tuu....!
 
Kwa chochote tutakachochagua,watoto nao inabidi kuwachagua na kuona umuhimu wa kuwepo kwa ajili yao

Tatizo hatuwachagui,na tuna sababu nyingi kujustify kutokuwepo nyumbani [wazazi wote ]

Ni uchaguzi tu.
 
Back
Top Bottom