Mke malaya, nimfanyaje?

huku nilipo mwezi uliopita kuna jamaa alimfamania muke wake ndani ya nyumba yake alichofanya hakumuongelesha mwanamke kitu chochote,alikuwa anaondoka asubuhi na kurudi usiku bila kumuongelesha mwanamke baada ya siku 4 mwanamke aliondoka mwenyewe
Mateso ya kiakili. Yaan naipenda sana hii mbinu maana humtesa mpaka nafsi
 
Mm nasema hiv ni bora ukaujua ukweli wa mambo kuliko kuishi katikagiza na matumaini ya uwongo.
 
Pole sana mkuu huwa yanatokea. Uamuzi unao wewe kumtimua ama kuendelea naye.
 
"ulichokitaka ndio ulichokiona" hii kauli kuambiwa mwanaume ni ngumu sana ujue, mke umeoa au sogea tuishi? sidhani kama mwanamke ulie muoa anaweza kufanya ujinga kama huu na ukamwangalia tu bila hatakushirikisha ndugu yake hata mmoja
 
Polee sana
Mnabidi mtulie. Umeolewa unaishi na mwanaume anayekuhudumia lkn unahangaika na wanawaume ambao hawana mpango na ww.
Unajua kwann kakataa kuondoka? Anajua ataenda wapi? Huyo anayepiga mechi huko nje si ajabu kaoa. Halafu baadae ataanza kulalamika wanaume wabaya. Ogopa sana kitu wanachokitamani wengine, wapo wanaolala kwenye nyumba za ibada, kwa waganga n.k ili angalau waolewe lkn ww umeolewa lkn unahangaika na wanaume. Ukipendwa, shikamana
 
kungekuwa hakuna ngoma..ningekushaur uwe unamtafuna 0714 daily..ila sasa maradh ndio mtihan Sheikh...mkimbize tuu huyo malaya before it's too late..tatizo kuoa wenye chura..ao ni malaya by default...coz wanasumbuliwa sana..
 
Mkuu hapo ni kwako au kwake???!!!

Mtu awe kwako umtimue akatae
mwanaume huwa haliilii. Wewe utakuwa mwanaume wa Dar.

Huku mikoani sasa hivi kiuno kingekuwa kimeshatenguliwa muda mrefu tu.

Kwa kesi hiyo mimi nilijua umekuja kutupa tu taarifa kwamba ulilala selo baada ya kumnyofoa kucha bila ganzi.
Ukimuonea haya mwanamke lazima ule uvundo wa wanaume wakwale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…