Mke malaya, nimfanyaje?

Hivi Wanaume wengine vipi aicee?

Unaomba ushauri jinsi ya kumfukuza au?

Kwani amekuoa wewe?

Mfungishie virago vyake...wanawake wapo wengi sana.
 
Wewe ni mpole sana mkuu,pole sana ndugu naamini umepewa ushauri wa kutosha lkn ww ndiye mwamuz wa yote.
Narudia ndugu acha unyonge unyonge fanya maamuzi ya kiume.
 
Ungempa mkeo atuandikie na huu uzi ili tuelewe!
 
Mi ndio maana naona bora nifuate kile nilichokuwa nakiona kwa wazee wangu. Yaani sasa mpaka nashangaa sana. Mtu umeoa mmegombana kidogo wife anakujibu kama anajibishana na bodaboda halafu unaanza kumkumbushia eti mi mumeo ujue. Sikuwahi kumsikia mzee wangu akiongea hiyo kauli. Yaani bi mkubwa kabla hata ya kukumbushwa alikua anajua anaongea na nani.

Sasa sa ivi ndio haya tunayoyaona mke anamjibu mume anavyotaka. Asee wanaume tumeshushwa hadhi sana. Inabidi ile heshima ianze kurudi. Kipindi hicho nilikua namuona mzee ni bandidu sana lakini kiuhalisia inabidi kuwa bandidu ili walau heshima iwepo hata kama kuna madudu nyuma yanaendelea.

Mimi mke hawezi nijibu ivyo. Mzee fanya maamuzi ya busara.
 
Yani mwanamke anafanya makosa alafu still anajiamini hivyo,huyo mwanamke ni wa kuacha aisee,ila unamoyo mgumu sana mkuu.
 
nmekupenda bure mkuu uamuzi wa kiume sana huo ulifanya
 
Atakuua huyo...hama mwache na huyo dada yake watakuua hao shauri zako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…