Mke malaya, nimfanyaje?

Kuna maamuzi kama u mwanaume kamili haihitaji hata kuuliza mitandaoni. Kama unaogopa kulea mtoto je huyo malaya akipata ajali ? Peleka mtoto kwa bibi yake (mama yako), fukuza kutetea uanaume wako
 
hebu tuelezee na wewe uchafu wako mkuu ili tujue hizo guts mkeo anazitoa wapi kukupa dry hivo vinginevyo utuambie tu mkeo ndo kakuoa. NAKUSUBIRI
 
Pole kwa masaibu yako
 
Hapo ndio uanaume unatakiwa uutumie hapo. Hakuna ushauri juu ya ndoa ya watu wawili waliopendana kwa vigezo wavijuavyo wao. Moja tu la msingi "tumia busara kufanya maamuzi kwenye hilo Jambo nzito lililo mbele yako. Usitumie jazba wala hasira kufanya maamuzi utakayoafiki kuyafanya. Kumbuka Hasira hasara
 
Mm napingana na ww. Bora umchunguze mwenzi wako hata kujua anafanya nn kuliko kutoshika simu.
Utakaa kimya mwisho utajikuta unaambukizwa ukimwi au unalea watoto si wako.
Mm lazima nishike simu, tena lazima. Wangapi walipendana sana wakaachana? Sembuse mm. Siwezi kumvumilia mwanamke malaya. Huyo wakufukuza akale alipopeleka mboga.
 
Ndio maana leo nimeamua kulileta humu kesho naenda hosptal kucheki afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…