Mke kutembea nje ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke kutembea nje ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by stephot, Oct 4, 2012.

 1. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,030
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Wadau wa Jf,tupeane maujuzi hapa,hivi ni kitu gani au dalili gani itakayokuwezezesha kugundua kuwa mkeo katembea nje ya ndoa?Yaani kakuaga anaenda kwenye shughuli zake na alipofika huko ka-du na mtu wake na karudi siku hiyohiyo.:embarassed2:
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ngoja wadau watakupatia majibu!

  Kuwa mpole stephot kwani yaelekea umechafuliwa ndevu!
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usisumbue kichwa chako mana hao viumbe huwezi kuwagundua wanafanya nini, we omba mungu tu ajalie upate mke aliye tulia :biggrin:
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mambo yetu yale hayana shombo hivyo inawezekana ikawa ni vigumu kujua ila tu kama atakuwa kakutana na kitu kikubwa zaidi yako na hivyo kutokea maharibiko eneo husika na aliporudi kwako ukataka,hapo unaweza kugundua lakini zaidi ya hapo usitegemee kujua cha msingi ni kufuatilia nyendo zake mbalimbali na hata wakati wa chakula cha usiku maana kama kanogewa nje usitegemee kama atakuwa anaenjoy tena kwako na ni rahisi kulitambua hilo maana ushirikiano utapungua ila usihukumu maana wakati mwingine inatokana na uchovu tu wa pilika za kila siku.
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,311
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Kwa hilo mtegemee Yesu tu ndio atakulinda vinginevyo sahau

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Uki du naye itakuwa inalia pwata ..pwata .. pwata ...pwata ...pwata....pwata..pwata hapo sasa:lol::lol:...:lol:........!!
  Au itegee sikio itakunong'oneza jambo......!
   
 7. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tumia mbinu zile zile ambazo wewe huwa unafanya unapokuwa umetoka nje ya ndoa
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kula mzigo kila leo...itamchosha hivyo ata kwenda nje hana hamu
   
 9. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukihangaika na mambo haya utakufa mapema. Aminianeni katika ndoa yenu, kila mmoja ampe mwenzie haki yake, pendaneni, tianeni moyo, saidianeni. Mkabidhini Mungu njia zenu nanyi mtakaa salama. Msiruhusu ufa wa roho ya uchunguzi, kufuatiliana, kuhisiana mabaya, kuviziana katika mambo fulani hasa ya kimapenzi, kuruhusu mtu wa tatu katika ndoa; hamtadumu na utagundua kasoro tuuuu!!!!!!!!!!!!!
   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,829
  Trophy Points: 280
  Umeniacha mbavu sina! Unavyofanya asikugundue basi tumia vigezo hivyo!
   
 11. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  ukihisi katembea nje na weye sepa, kagonge demu yoyote muwe ngoma droo...
   
 12. J

  John W. Mlacha Verified User

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  mnunulie chupi zennye kufuli then kaa na funguo
   
 13. g

  geophysics JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona mbinu zipo tena sana kujua........moja wapo ni hii.... kama atakuwa amefanya muda si mrefu sana..."do any means apige chafya"... Kama hakutumia mpira akipiga chafya....nakwambia sperms zitarudi tu....check it out.... Another trick..ni pm
   
 14. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Hahahah make hapa JF cku hizi kuna sredi nyingine zinakufanya mtu ujiulize mara millioni kabla ya kuchangia
   
 15. N

  Neylu JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaaaaa....
   
 16. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Anaweza akawa serious au ana aibu fulani
  ukimwangalia machoni unaweza kumjua kabisa.........................
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  jf is never boring aisee yaani kuna mtu ana comment hadi kicheko kinakubana lol!
   
 18. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  je kama walitumia condom hapo kitatoka kitu gani sasa? hebu fafanua maana hiyo ingekuwa rahisi maana unamlengesha kwenye ugoro tu! chafya zinatoka kama mvua!
   
 19. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Imekuaje mkuu, umehisi unaibiwa? Kwa kifupi ni ngumu ktk hali ya kawaida kugundua maana wanawake ni wajanja mno. Cha msingi ni kumwamini na kumpa uhuru wakati huo huo na wewe kama baba unatimiza majukumu yako ya kimahusiano, kindoa na kiuchumi ipasavyo na kushirikishana, kushauriana na kusaidiana kwa kila hali. Mwanamke hachungiki kwa style unayoifikiria.
   
 20. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Du...basi nichangie tu. Ni vigumu sana kujua. Hasa akiwa mzoefu. Hili la aibu ni mzinzi amacha. La kuwa serious ni la wazoefu. Lakini kwa wazoefu, pia inasemekana hujaribu kuficha wizi kwa kuufunika na penzi kali usiku.

  Inasemekana ukiona kazidisha penzi ni kwamba anataka siku hiyo ipite hujajiuliza mengi. Kwa hiyo defensive mechanism kupunguza maswali ni ukali kwa upande ama kuzidisha penzi, japo ni penzi hewa.

  Mchangiaji mmoja amesema ukijaribu kumfuatilia sana mkeo unaweza ufe kabla ya wakati wako. Mwachie Mungu tu, basi. Hutamchunga mke ukaweza! Inaaminika kuwa dawa nzuri ni kumfanya akupende wewe tu siku zote kwa kumpatia kwa ukamilifu maitaji yake. Kula chakula vizuri pasipo kubwia mipombe sana shooting isilete shida. Jitahidi kuimarisha uchumi wako maitaji ya fedha yasilete sana shida. Halafu ingawa hili limenishida mimi, nasikia utanashati unampa sana raha mke kuwa mkeo na kuambatana na wewe zaidi katika yote.


  Kwa kifupi preventive measures zitumike zaidi kuliko haya yanayohusiana na wivu; kama hili ulilolileta hapa
   
Loading...