Mke kusuguliwa kucha na mwanaume

Mke kusuguliwa kucha na mwanaume

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
957
Kuna haka kamtindo ka wake zetu kwenda kusuguliwa kucha na wanaume mtaani hivi dini gani inaruhusu, ukiangalia unaona anaoshwa nyayo hivi nyi wanawake mnavyooshwa hakuna masteem pale.
 
Yaani wengine wanasuguliwa hadi mapajani wanalegea, yaani tabu tupu .kuna hawa wasugua miguu wengine siku hizi wanajilia kiraini ,,,yaani Mungu atusaidie na hawa wake zetu,huu uzi unanifanya nasikia hadi hasira.nilishawahi ona mtu anasuguliwa hadi katikati mapajani utafikiri mikono ya msuguaji inataka kuingia ikulu,mdada hiku kajiachia na kimini kifupi
 
Ukiona mkeo anasuguliwa kucha, nyayo mpaka mapaja jua umeoa kahaba huna mke. Hakunaga mke wa namna hiyo.

Huyo ni kahaba tu, hakuna namna nyingine tena🙁🙁🙁
 
ha ha ha ha pitia mwege weekend ndio utajua utamu wake...
 
Hivi kweli mtu anashindwa kujisugua mwenyewe mpaka akasuguliwe na mtu tena mwanaume! Mbaya zaidi hivyo vya kusugulia wanashare watu wote wanaoenda hapo!
mim si mwanamke
Mim Ni Jianaume
Huwa naona tu huko mitaan

kuhusu swala la kushare vitu vyenye ncha kali wee ndio unawaza ivyo wengine hawana hayo mawazo
 
Kuna wataalam wa afya ya mapenzi wanaamini nyayo na kidole cha kati cha mwanamke kina ashki kubwa sana labda ndio maana wanapenda kuguswaguswa
 
Sio wanawake tu! mbona juzi nilimkuta mwanamme tena kabila lake ni Mjita kutoka mkoa wa Mara anasuguliwa miguu saluni ambayo iko jengo la NSSF la zamani makutano ya Morogoro na Bibi Titi Road, alikuwa anasuguliwa na kijana mganda anaitwa Musa (alaaaaaaaaaaaaaaaaa sio kila mara muwe mnatuhumu wanawake tu).
 
Hao vijana wa kusugua nao wanazijua sana 'point of weakness' akishasugua mtu akalegea,anakuwa mteja wa kudumu mwisho wa cku anajilia mzigo,yaani hawa wanawake wa mwendokasi watatufikisha pabaya.
 
Kuna baadhi ya wanandoa wote wanasuguliwa.
Wengine mama anasuguliwa kucha na miguu huku baba anapata full body massage.
Ndipo tulipofika huko. Na hawa vijana wasuguaji miguu na wasafisha kucha siku wanaingia mpaka kwenye nyumba za watu kabisa.
Utashangaa unakuta kijana na kapu lake ameshikilia paja la mkeo kwenye sebule yako.
 
na mume kuoshwa na kusuguliwa kushikwa shikwa masikion na kufanyiwa massage mwili mzima mume wa mtu na anashikwa shikwa na mwanamke tu wa saloon hii no dini gano
Siku ya kwanza network ilishika saana harafu kwa kuwa siku ya kwanza kwake Anajua nitashindwa kufikiri kutumia kichwa kikuu Aliona kabisa imesimaa tena tupo wawili tu lakini nilipo toka tu chumbani Mpaka Leo Sijawahi fikilia Kufanya Mapenzi na Dada wa Babar's Kwa heshima niliyonayo kitaaa Nikaona nitajishusha hadhi na inaweza kuwa Shida so Kuna wengine tu naona normal tu
 
Mkiwachunguza saaana wanawake mtaumia bure
Wewe umeoa usiwe na wasiwasi na mkeo hesabu yuko salama kabisa
Ila ujue hili mwanamke ni wako unapokua naye ukiwa hunaye siyo wako
Ikijiwekea hivyo haitakusumbua ukumbuke kuwa mwanamke ni mtu wa hisia na zinabadirika kila wakati
Usishangae akawa anataka kucgezewa miguu harafu we mkali akikuambia imekula kwake
Inabidi akafuate haka ka bwege majuto ili kachezee miguu na kumpa urembo ila kanaweza kupenetret kabisa kabisa sasa ka chonjo
 
Kuna wataalam wa afya ya mapenzi wanaamini nyayo na kidole cha kati cha mwanamke kina ashki kubwa sana labda ndio maana wanapenda kuguswaguswa
Mnaishia karibu bila ya kugusa vibanda vya salon za wadada wa massage. Vipi hapo, imetulia kufanyiwa hivyo mtu wa ndoa kwa mwanamke asiye mkeo? Twende na vyote tusiache uozo mwingine nyuma,unaobungua jamii yetu. Mila za wapi sijui! Upuuzi mtupu.
 
1474629072222.png
 
Back
Top Bottom