Hayo ni mapenzi mubashara tu ila kwa wale wenzangu mimi ambao hawajui mapenzi wanaweza kutafsiri watakavyo.Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?
Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!
Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
Hivi haya yapo kabisa laivu yanatokea???Mi najua ni maigizo tu katika tamthilia, filamu na bongo muvi….Maigizo hayo sijawahi kufikiria kabisa yaani nimfungulie mlango asiye mlemavu???
Kwangu kupenda sio kutotumia akili mpaka nianze kuvaa nguo za kike. Mwanaume kusoma shati la kitenge inakuwa ni blauzi sio shati maana ni nguo ya kike.Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?
Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!
Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
Hawajiwezi wanapelekeshwa tuHahaha hivi mwanaume unaanzaje kuvalishwa kitenge?
Halafu madingi wenye vitambi ndio mara nyingi utapata wamegonga vitenge...
Hahahahahahaha mm mwenyewe hata kuleta mada za kushona tu haweziNdondoo,
ukishaona hivyo ujue uzee ndio ushawanyemelea hamna cha kupoteza tena,khaaaah mimi nishonewe kitenge walahi kutachimbika siku hiyo walah
alafu wanaume wanaovaaga mashati sare sare maua na wake zao muda wote wanavaa moka zilizokuwa na vumbi kali jekundu sijui wanalitoleaga wapi
Kushonewa au kuvaa nguo ya kitenge na mkeo ni kuonyesha kwamba nyinyi ni kitu kimoja hakuna wa kuwatenganisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ndugu yangu jitayarishe kwa vita ambayo kamwe huwezi kushinda.Hayo ni mapenzi mubashara tu ila kwa wale wenzangu mimi ambao hawajui mapenzi wanaweza kutafsiri watakavyo.
Yeye anaamini mitumba ya Karume haijashonwa..ha ha ha Ushamba ni mzigo sana.Ninajiuliza kama huvai nguo za kushona unavaa nguo zilizofanyaje. Kwa uelewa wangu mdogo nguo zote zinashonwa ila materials ndio tofauti. Ndio maana mleta mada akawa specific kwa kutaja vitenge. Labda unifafanulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ndio hawashoni? Nguo yoyote imeshonwa....Navaa zinazotoka China, japani, USA, tailand, uko a washoni za vitege
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemeana na couple yenyewe wana akili za aina ganiHabari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?
Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!
Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
Na manguo ya kung'aaa kama yamepakwa mafutaalafu wanaume wanaovaaga mashati sare sare maua na wake zao muda wote wanavaa moka zilizokuwa na vumbi kali jekundu sijui wanalitoleaga wapi
Una mke...??Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?
Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!
Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
una akili za kikoloni sanaUKIONA IVYO JUA MWANAUME EITHER ANATAWALIWA AU ANAMSIKILIZA SANA MKE WAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app