Mke kazidi mizaha

Kwenye somo la Psychology kuna mada ya Peronality.
Ingia kwenye hiyo mada google ubainishe aina kadha,hasa zinazolandana na tabia ya mkeo,uone kama vinarekebishika au jinsi ya kwendana navyo.
Vinginevyo utaumiza akili yako/utatoa maamuzi yatakayo kugharimu wewe binafsi.
 
Umri wako ni ngapi kwanza?!!
Seems Una utoto bado!
 
Either unachepuka au yeye anahisi hivyo, anafahamu au anzihisi dhambi zako na anafahamu au anshisi unaziendeleza, hivyo anakwambia acha kumdhihaki Mungu.
 
Nakuelewa Sana mtoa mada Mimi ilinikuta hio kidogo niue toto la mtu..now sitaki Tena Ndoa kwa sababu ya mdomomdomo wa wanawake na dharau.kila siku ananipigia simu turudiane sometimes namuonea huruma nikikimbuka mauno yake SI unajua Tena watoto wa pwani huwa hawakosei kitandani hawafanyi makosa kwingine Huku ndo hivo dharau...anyway nakushauri wako mna muda mrefu na familia hivo usimuache endelea kuongea naye...me wangu hatukufunga ndoa na pia hatukuwa na mtoto so ni rahisi kumtema kucheki changamoto nyingine...all in all wanawake wanafanana tabia
 
Kusema kweli we ndo mwenye matatizo asee. We unataka kuishi kama mko Kambi ya jeshi? Shida unapimia kumzidi elimu na mshahara unataka akusujudie

Hapo baada ya kumaliza kusali wakati ye anapanga Nguo kabatini ungeenda kumkumbatia Kwa nyuma ukamuuliza na kumwambia unasemaje wewe? Subiri adhabu Yako kitandani ukimaliza kupanga Nguo, najua alikuwa na kanga Moja tu hapo

Ishi na mkeo kama Mshkaji wako bloo ufurahie maisha
 
Huyo mke hana mzaha bali ni mkorofi tu😂 kuna wanawake wanapenda attention zetu kupitia ukorofi ukikasirika yeye ndio anaona raha😂😂😂 atleast ume respond kwa feelings zake. Sasa sio wote tunamudu huo ujinga!

Cha msingi mkomeshe kitandani umkaze kweli kweli kisha umwambie ukileta uchizi nakuongeza tena 😂😂😂... Hio ndio adhabu nzuri na itakurahisishia kujua wakati ana mood ya kutafunwa.
 
Kwanza utasalije peke yako mkuu yeye akiwa anapanga nguo?

Japo kilichofanyika (utani) kwangu siyo issue lakini inaonyesha kuna vitu wewe mwenyewe umeviendekeza.
 
Hakunaga wanawake watamu kama hawa wapenda utani🤣
 

Una mke mzuri, na wewe ndo Una matatizo, ndivyo alivyo, I so wish ningepata mke kama huyo, kama kakushinda, wewe tueleze!

Wewe na mkeo mmelelewa tofauti na haya unatakiwa ujue, malezi aliyopewa mke wako kwa miaka 20 kabla hamjaonana huwezi yafuta kwa makofi!

Hawezi kubadilika hata ufanye Je, wewe sasa amua, kuzika au kusafirisha!
 
Mkuu unachukulia mambo serious sana. Mbona hiyo ni mizaha ya kawaida kabisa kwa wapendanao. Binafsi mie nakuona kama vile hujui kuenjoy raha za mapenzi. Hivi wewe pillow fight unaijua? Ukipigwa na mto si utasema huyu mwanamke avuka mipaka na dharau zake ameamua kunipiga kabisa?
 
Serikali tunaomba mfungue Shule na Vyuo mapema jamani...Hali NI mbaya sana mtaani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…