N = NDANIMaana ya ndoa, "watu wawili wakosaji waliokubaliana kuishi pamoja kwa kusameheana"
Ww hjawahi kchepuka hata siku mojaHabari wadau
Nna mke na mtoto mmoja na hivi karibuni nimekamata mawasiliano yaliyoonesha kuwa wife ananisaliti na jamaa mmoja hivi nikafatilia vizuri ikawa ni kweli na alikwishatembea nae mara moja, nikawa nimemuuliza kama anampenda sana tuachane aende zake wakaishi pamoja lakini akasema kuwa alipitiwa tu na nimsamehe.
Hii sijamshirikisha mtu yeyote kwa familia zetu na nikawa nimemuangalia tu tunaendelea kuishi ila simuamini tena kama nilivyomuamini awali naomba ushauri kwenu wadau nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo nilishamtafta na akakili kuwa hataendelea na hiyo kitu ila si unajua tena wakishaonja hawa?utaacha wangapi ndugu ??
kama wewe alikukubalia kwanini awakatae wengine ?
muwekee masharti magumu mnyime muda mbadilishie aina ya simu
kisha mtafute aliyetembea nae ongea nae kiume akiendelea mletee ubabe
haya muache maana ndio ulichopangaHuyo nilishamtafta na akakili kuwa hataendelea na hiyo kitu ila si unajua tena wakishaonja hawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann ukose amani kwa hayo yote utakuwa huishi kwa amani wakati ndoa ni furahautaacha wangapi ndugu ??
kama wewe alikukubalia kwanini awakatae wengine ?
muwekee masharti magumu mnyime muda mbadilishie aina ya simu
kisha mtafute aliyetembea nae ongea nae kiume akiendelea mletee ubabe