Ana akili huyo mke wako,manake hata bible inasema kila mwanamke imempasa kumlinda mume wake.
Na asiku danganye mtu hata siku moja hamna mwanaume ambaye hajatawaliwa na mke wake,labda kama hakumpenda,lakini kama alimpenda anatawaliwa, ingawa mbele za watu atajidai sijui nini nini,yaani ndivyo ilivyo mke wako yuko sahihi.