Mke kamkimbia jamaa yangu

Hajarudi Singida huyo, yuko Tabata na ameanza Kula vichwa
 
Ndoa za kiislamu huwa ni za fasta na kuachana ni fasta. Uvumilivu hamna kabisa hawa watu. Anyamaze amwache atarudi tu angekuwa wa kwenda asingetuma vi msg hivo angeenda tu kenge huyo
 
toa tu ushauri ndugu usiwaze
Binadamu wabaya watasema napinga maendeleo yao kikubwa aachane naye tu akiendelea kujishusha ipo siku atakuta nyumba ni nyeupe peeeh! Aachane naye haraka
 
Mbona dawa yao siku hizi inajulikana,ni pwaaa kama saba hivi?kama huna piga roba ya nguvu
 
Huyo mwanamke alikuwa anatafuta tu sababu ya kuondoka kwa jamaa, pengine kabla ya kuolewa alikuwa na matarajio makubwaaa kufika ndoani kayakosa........... . Serious kabisa mtu na akili zake timamu unanuna eti kisa nyama?
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…