khaaa!Dah, mkuu hope1985 umegusa mulemule aisee me nilikuwa nae wangu wote ni graduates ila yeye kapata kazi kabla yangu tumekaa miaka sita ila baada yy kupata kazi kanivumilia mwaka mmoja tu kaanza kunifanyia vituko nikimuuliza anakuja halafu yy yupo mbali na mm. Juzi kati ameamua kunichana live hataki kuwa na mm na kigeo kikubwa ni kazi hakuna sababu nyingine. Kweli inabidi tukatafute form 4 au certificate kidogo stress zinaweza kupungua.
Ebu mwambie huyo....tatizo vijana wengi wanakariri sana...mimi nishakua na demu mwenye PHD, na heshima ilikua tele tu...sijawai kudate demu asiye kuwa na masters degree....na wote walikua wananipa heshima kibao..elimu yangu mimi ni fom fwo ya ya kufeli. chezea mimi wewe.
Mwanaume huu ni ushauri wangu na uzoefu wangu maana niliwahi kuishi na mwanamke mwenye degree tena ya ualimu ni shida.
Kwanza graduates wengi wakati wowote akitokea mtu mwenye pesa nyingi kukuzidi ni rahisi sana kukuacha, wana tamaa sana. Pili wengi wao wametumika sana tena sana. Tatu hawataki uwakosoe na akikosea ukamkemea basi jua hatokubali zaidi ataanza kuleta porojo za kutetea alichofanya.
Nne wanajisikia sana hasa kama akiwa anafanya kaza na yeye anataka awe mwanaume ukimgusa tu atakwambia muachane maana anajua ana uwezo wa kulipa kodi. Tano wana marafk wengi sana wa kiume kuliko wa kike na kujidai kuishi kzungu yaan haoni hatari kula denda na mfanyakazi mwenzie au kukumbatiana au kupigiana na kuandikiana sms za usiku mwema hasa nyakati za usiku.
Sita hawana mapenzi ya kweli, anakuenda ukiwa nazo tu siku zikitoweka ujue ndo mmeachana.
Ushauri: Usikimbilie kuoa mwanamke graduate wakati wapo kibao form 4, na certificate kwani huenda utajipunguzia siku za kuishi kwa mawazo, maana mwanamke graduate omba asipate kazi, akipata ujue na yeye anaota ndevu, humwambii kitu.
tehetehetehetehetehe .....hapana jameni mi form four felia pure...

Oa huyo wako unayemtaka ili na waendesha bodaboda na wafyatua matofali nao wapate pa kujituliza;
kwani ni lazima uwashauri na wenzio?