Baby is Mad
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 279
- 97
hehehe..ila watu wanashindwa kuelewa..mote mkiwa na kipato au kazi ya juu hamuwezi kuenjoy life.. mfano wote ni mameneja, kila siku safarini....mmoja akienda kaskazini mwingine kusini....uzoefu wangu wote huishia kufall kwa wenye elimu na kipato cha chini...mke atagongwa hata na dreva..mme atagonga hosekeeper wa hotel au barmaid. Ni kitu ambacho kiko wazi sana sijui kuna ugumu gani watu kuelewa. Mafahali wawili hawaishi zizi moja...mimi kama ikitokea mke akinizidi kipato wala sitakua na gubu...kazi yangu mimi ni kumpa raha tu...saa nyingine unakuta ni inferiority complex tu ya wanaume.
hahahaha... Khantwe degree iko kichani. Ingekua papuchini ndio ningeogopa. Kazi moja tu...hata ukiwa profesa.
Ngoja niongeze na PHD
Mwanamme Kuwajibika na kupamba hata km huna materials,elimu etc kunaadd value km utakuwa na mwanamke mwelewa,lakini nihivi unahitaji heshima wakati huna unachonizidi... wasomi watakusumbua kma mwanaume ujielewi alafu maisha ni mipango kuwa na mipango mwonyeshe mkeo kuwa unaweza si umekaa lege lege hata mimi nakuacha tena kwa sherehe kubwa
Ebu mwambie huyo....tatizo vijana wengi wanakariri sana...mimi nishakua na demu mwenye PHD, na heshima ilikua tele tu...sijawai kudate demu asiye kuwa na masters degree....na wote walikua wananipa heshima kibao..elimu yangu mimi ni fom fwo ya ya kufeli. chezea mimi wewe.
Mwanamme Kuwajibika na kupamba hata km huna materials,elimu etc kunaadd value km utakuwa na mwanamke mwelewa,lakini ni
Mwanamme wa kukaa nyuma*2 km tui la nazi changa na inferiority za kijinga inakunyima heshima hata pale usipostahili.
Ni kweli! Kwa sababu huo ni mtazamo wako!huna akili wewe.
anataka tuchukue std 7, mambo gani ya kuanza kufundishana english kitandani... huyovmwanamke kwenye corporate meetings utaenda nae kwel!?? Ka sio kutafuta mchepuko wa kuutambulisha
Unaropoka mkuu....ila kiuhalisia wanawake walosoma hasa elimu ya dgree weng wao hawana malengo ya kuish na mume hasa wakiwa vyuon...anakwambia m nkipata kazi yangu nna mwanangu naishi mwanaume wa nn....so ni ngumu kwa mwanamke mwene mawazo hayo kuja kuwa chini yako...migogoro haitaisha umo ndan
yoyote umuangaliae na kumtamani, umeshazini nae!!! katubu dada, mambo ya kutuvua nguo ofisini ni dhambi