Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 May 1, 2018 #21 mtafuta-maisha said: Insane Click to expand... Kubadilisha
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,944 Reaction score 23,892 May 1, 2018 Thread starter #22 Ruttashobolwa said: "Wewe mtoto utapata tabu sana,utapata shida sana.....nitakupiga kipigo cha mbwa koko"View attachment 762489 Click to expand... Huyu mchawi...
Ruttashobolwa said: "Wewe mtoto utapata tabu sana,utapata shida sana.....nitakupiga kipigo cha mbwa koko"View attachment 762489 Click to expand... Huyu mchawi...
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,944 Reaction score 23,892 May 1, 2018 Thread starter #23 Lakini wamekutana wote.. Sio mbaya.
Dionize N JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 1,848 Reaction score 3,298 May 1, 2018 #24 data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... we ni mwanamke mwenye wivu uliofikia hatua ya kuroga na kuna uwezekano una miaka hata 40.... Ila hujapata bwana
data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... we ni mwanamke mwenye wivu uliofikia hatua ya kuroga na kuna uwezekano una miaka hata 40.... Ila hujapata bwana
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,944 Reaction score 23,892 May 1, 2018 Thread starter #25 Dionize N said: we ni mwanamke mwenye wivu uliofikia hatua ya kuroga na kuna uwezekano una miaka hata 40.... Ila hujapata bwana Click to expand... Ahhaaahahahaa.. Dah. Sawa. Ila mi nliomba picha tu.
Dionize N said: we ni mwanamke mwenye wivu uliofikia hatua ya kuroga na kuna uwezekano una miaka hata 40.... Ila hujapata bwana Click to expand... Ahhaaahahahaa.. Dah. Sawa. Ila mi nliomba picha tu.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,379 Reaction score 56,096 May 1, 2018 #26 Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani!wabongo nuksi!
Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani!wabongo nuksi!
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,183 Reaction score 6,358 May 1, 2018 #27 Doh we jamaa na rutashobora ni viazi sana.