Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,330
DuhLabda ni ya mchepuko
Ndio atoe mimba kama ataki kuzaa si bora arudi kwaoAmekumbuka kilichomkuta leba akaona cha kujifia 😂.
Usimchukulie vibaya kama ni bingwa wa kutoa we mpachike nyingine usione hurumaHell
Hivi unaweza vumilia hili swala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
Mh hakuna sababu ya maanaIpo sababu ya yeye kufanya hilo tukio chunguza
Labda kaona huyo tuu wa kwanza matunzo yake kipengere je huyu wa pili?!!!Hell
Hivi unaweza vumilia hili swala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
Kiserikari ukiishi na mtu ndani ya miezi sita uyo ni mke au mumeUlivyo muuliza yeye kakujibuje??
Every thing happen for a reason.
Muulize Kwanza, ujue sababu ni nini kisha ulete merejesho.
Btw kulipa mahari, hakuhalalishi ndoa. Ndoa ni either mfunge kanisani, msikitini au kimila.
😂😂 au sioUsimchukulie vibaya kama ni bingwa wa kutoa we mpachike nyingine usione huruma
Mpk aseme siopiga kipigo cha mbwa mwizi hio kenge
Nenda umuhoji vizuri..Ndio atoe mimba kama ataki kuzaa si bora arudi kwao
Muhimusika nataka kumjuaMimba si ya mume