Mke atanikimbiza nyumba

Mke atanikimbiza nyumba

Bobobo

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Nina mke wa miaka mitano na kujaliwa na watoto watatu.

Tatizo la mke, hajui budget ya nyumbani, akigundua unahela atahakakisha imetumika yote bila kujali kesho, ana tabia ya kuandika uongo kwenye maitaji ili apate cha juu.

Ukimkabidhi hela ya matumizi ya nyumbani atatumia nusu na atasema hana hela.

Mbaya zaidi ukikorofishana kidogo ataongea kwa sauti zaidi ya masaa 2.

Kupata unyumba kwake mpaka yeye ndo aanze, ukiparamia utakuta ukavu ya hali ya juu na kuishia kuwa disappointed tu, cha kifupi mwanamke anapenda sana umbeya, anaongea kwa sauti kama yeye ndo baba wa nyumbani na anapenda sana kelele na ugomvi ugomvi na watu.

Ninfanyeje, nikimbia home au nivumilie.

Naomba ushauri please
 
Hayo mabadiliko ameanza lini mkuu, je umejaribu kumkanya hajakuelewa? vipi kwa mshenga, wadhamini wa ndoa, aliyefungisha ndoa Mchungaj/padri/shehe bila kusahau wazaz wote ngoma imedunda? mwanaume hakimbii matatizo, nina matumaini huyo mwanamke anamazuri yake ndo maana umeweza kumuoa na kuzaa naye watoto watatu, hayo mengine yanazungumzika, tena papuch mkazanie agawe aache ujinga lasivyo kutakuwa na mtu anakusadia secta hiyo, ila ninatumaini ukipeleka kwa hao nilio wataja hapo juu hilo shauri lako litapatiwa ufumbuzi
 
No 1: jifunze kumtunza mkeo.... mke humpi hela mpaka aweke cha juu???? Au unataka wajanja wakutunzie????

No 2: jifunze kumwandaa mkeo, sio kumparamia.... wahenga walivyosema mapenzi ni sanaa ulidhani ni kuingiza na kutoa tu???

Kuhusu kelele, huyo mke ulitafutiwa au ulitafuta???

Anyway,

Asante kwa chai.......imekolea sukari


nina mke wa miaka mitano,na kujaliwa na watoto watatu. tatizo la mke, hajui budget ya nyumbani,akigundua unahela atahakakisha imetumika yote bila kujali kesho,ana tabia ya kuandika uongo kwenye maitaji ili apate cha juu. ukimkabidhi hela ya matumizi ya nyumbani atatumia nusu,na atasema hana hela. mbaya zaidi ukikorofishana kidogo ataongea kwa sauti zaidi ya masaa 2. kupata pepuchu kwake mpaka yeye ndo aanze.. ukiparimia utakuta ukavu ya hali ya juu na kuishia kua disappointed tu.. cha kifupi mwanamke anapenda sana umbeya,anaongea kwa sauti kama yeye ndo baba wa nyumbani, na anapenda sana kelele na ugomvi ugomvi na watu.. ninfanyeje.. nikimbia hm au nivumilie.. naomba ushauri pliz!!!!
 
Pole mkuu, usikimbie home watoto wanahitaji malezi ya baba na mama ila tafuta nyumba ndogo akianza kuona mabadiliko kwako atatia akili!nilisoma kny boda boda 'raha ya mume muwe wanne'hahahaa how true?!kutaka cha juu utakua umeoa muuza bar hao ndio hupenda tip
....
Unalo hilo....
 
maisha ni kuvumiliana wala usikimbie nyumba kwani hutakuwa haujatatua tatzo
 
Watoto watatu kwa miaka 5? Umemzalisha speed sana na bila kumtunza atachakaa sana. Na gharama za watoto ni nyingi sana it seems hujui wewe na mkeo zinamkuna kichwa hadi anakuwa na kiburi. Jaribu kuspend siku3 hapo nyumbani ujishuhulishe sana na huko jikoni utaelewa mkeo ni nini anachofanya na utamuheshimu.
 
Watoto watano kwa miaka 3? Umemzalisha speed sana na bila kumtunza atachakaa sana. Na gharama za watoto ni nyingi sana it seems hujui wewe na mkeo zinamkuna kichwa hadi anakuwa na kiburi. Jaribu kuspend siku3 hapo nyumbani ujishuhulishe sana na huko jikoni utaelewa mkeo ni nini anachofanya na utamuheshimu.

Umekosea ni miaka mitano ya ndoa na watoto ni watatu!
 
unamuona huyu mtoto Jestina tusipomshughurikia usiku huu tutaonekana nyoka wakibisa

Tumsaidie tu mapema maana anatakiwa kutoa special order kwa mfinyanzi la sivyo..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom