Mke anayefanyakazi (Mtumishi) Vs Mama wa nyumbani

sometimes unapaswa kuamini tu huyu ni MKE wangu pekee.....full stop......yuko busy na wewe kuwa busy na yako........jipigie NYETO za ghafla.....ukihitaji andasii ya kipochi manyoya halisi........akijilaza hapo saula piga style ya "mkabe shetani" ........kimya......usichepuke.....ishi kama jini.........piga busy ya kurudi saa 5 usiku.....tafuta pesa zaidi na zaidi......mwache afanye kai...wana keshakuzalia nini zaidi unataka......
 
kufanya kwake kazi hakujawahi kua kero kwako???...I mean sio necessary kero kubwa
Mwanamke akatazwi kufanya kazi,wwe angalia kazi na Mazingira yake,siyo kazi zote ni kero, kuna kazi zingine tena wwe Mume ndiyo utakua unamuamsha Wife ajiandae aende kazini!!
 
challenge gani?
Pamoja na pesa yake,lakini bado atabaki kua Mke na atatii maelekezo yangu japo kua nae pia ana haki ya kuchangia maada lakini mwenye maamuzi ya Mwisho ni Mimi Mumewe!! Na ukiona Mwanamke hatii maelekezo yako basi huyo hakupendi,Siri kubwa ya Mwanamke akikupenda anakua msikivu sana kwako hata kama anamiliki Ulimwengu wote hawezi kufanya lolote bila ya kukushirikisha!!
 
Pamoja na pesa yake,lakini bado atabaki kua Mke na atatii maelekezo yangu japo kua nae pia ana haki ya kuchangia maada lakini mwenye maamuzi ya Mwisho ni Mimi Mumewe!! Na ukiona Mwanamke hatii maelekezo yako basi huyo hakupendi,Siri kubwa ya Mwanamke akikupenda anakua msikivu sana kwako hata kama anamiliki Ulimwengu wote hawezi kufanya lolote bila ya kukushirikisha!!
haya bwana mzoefu wa mapenzi
 
Tutasalimiana baadae ngoja ni jump mpaka kwenye mada yenyewe.

Mimi nimeoa mke ambae mtumishi(anatumikia vyeti vyake) ambapo inapelekea mke wangu kupata ma safari ya kikazi ambayo muda mwingine anapangiwa na li mwanaume analofanya nalo kazi(sometime ni yale ma mwanaume makwale sijui yana kizizi). Anyway kuna mida anarudi kachoka mpaka analala na mi nguo ya kazi kiasi kwamba hata nikiwa na upwiru naweza mshika maeneo fulani ya mwili wake naona kabisa nam-boa,Kuna siku naanza kujilaumu kuwa na mawazo ya kimario ya kusema eti nioe mwenye kazi ili tusaidiane ilihali hadi viwembe vya kunyolea manywele ya kwapa lake anaomba hela kwangu ya viwembe in short sioni huo unafuu wa utumishi wake.

Nikiangalia jirani ana mke wake goli kipa ambae kampa mtaji wa kuuza ice cream(balafu tamu) shuleni na home kiasi kwamba yule shem anaplay part kama wife wa kiafrika i mean anaweza kuihudumia famialia kwa kuipikia, kumuandalia mume hata maji ya kuoga, chakula huku nikiangalia kwangu naona mke wangu anakuja kachoka utafikili katoka kucheza movie la ex yaani imefika muda mke wangu hawezi hata kufua nguo zangu labda boxer zangu yaani kazi za malezi ya watoto na za nyumbani kamuachia dada wa kazi na mbaya zaidi huyo dada wa kazi anamchagua yeye (mbaya ki muonekano/mweusi pia mshamba kichizi yaani) ina maana anajua kabisa mi sitoweza kumtongoza wala kumuomba mbunye kwa sababu napenda mademu weupe kama mke wangu white.

Yaani kuna mida unaplan nae mkainjoi huko duniani linapigwa li simu kutoka ofisini mwake linaharibu out yenu kwa kweli ni kero kuna mida naanza kujiona kama vile nimeoa MWANAUME mwenzangu kwa sababu ukimtisha kumuacha nae anakuchimba beat tofauti na mke wa jirani yangu(goli kipa) ambae akipandishiwa kibesi na mmewe ananyenyekea na kuomba mishamaha.

Sasa kubwa kuliko usiombe ahamishwe(iwe kafanya vizuri kazini makao makuu yao yaweza kumtaka aende kuwaboost mkoa mwingine bila kujali boss wake mkuu upo mkoa huo) na hata akiboronga kazini anahamishwa kama adhambu ya utumbo aliofanya huko kazini kwake tena unaanza kuingia kwenye mtihani wa kupiganisha ahamie mkoa wa karibu yaani kwa kweli enyi wake zetu watumishi mnatufanya tuwe na watoto wa nje ya ndoa kwa sababu ya utumishi wenu.

kwa vile nili ahidi kuwasalimu baadae ngoja niseme MAMBO VIPI ila tu mwenzenu natamani movie lirudiwe nioe goli kipa. Hebu tupeane maujuzi nyie wake watumishi mnaishi nao vipi mpaka mkafika point ya kuzeeka nao kwenye ndoa.

KARIBUNI SANA WANANDOA ILA KAMA UNAJIONA WE BADO MTOTO TAFADHALI USIJE KWENYE HII MADA NENDA chitchat kuna mada zako.
Inategemea umempanga je wanawake wanafanyakazi ni bichwa gumu wengi wao

Mie alitia fola kufanya uchokosi kidume
Nikamsifia sifa kibao na kumwambia kwa sifa hizo hata ukitafuta mwanaume hutakosa tafuta uolewe nakupa baraka zoooote

Hahahaha yaliyofuata ni kibaki njia kuu

Kwa hiyo uwe na sauti ya kiume usipende kuperekeshwa kabisa

Hata akiolewa na mwanaume mwingine mwaka mmoja ni muda mrefu sana
 
Inategemea umempanga je wanawake wanafanyakazi ni bichwa gumu wengi wao

Mie alitia fola kufanya uchokosi kidume
Nikamsifia sifa kibao na kumwambia kwa sifa hizo hata ukitafuta mwanaume hutakosa tafuta uolewe nakupa baraka zoooote

Hahahaha yaliyofuata ni kibaki njia kuu

Kwa hiyo uwe na sauti ya kiume usipende kuperekeshwa kabisa

Hata akiolewa na mwanaume mwingine mwaka mmoja ni muda mrefu sana
changamoto gani ulizipata toka kwake?
 
Wanaume mabahili kama nini...wosia..mwanamke usiache kazi upendo wa wanaume ni wa majira tu..
 
Back
Top Bottom