Ni long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano yalivyo kupeana umbea tena.
Wapenzi/wanandoa ni wambea kuliko maelezo
Ndio maana siri yako ukimpa mtu aliye kwenye mahusiano yaliyonyooka....jua na bwana/mwanamke wake anaenda kuambiwa
Ni long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke ⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano yalivyo kupeana umbea Tena.