Mke anashindana kila kitu na mimi!

ngoja niulize hv wewe kwa maono yako unahis wapi mkeo ambapo amekosea maana naona kama mko sawa tu?
 
Sina uhakika kama haya ninayoandika yatakusaidia maana wana dot.com mnajua kila kitu duniani.
Mzee wangu mmoja[hivi sasa ni marehemu] aliwahi kuniambia kwamba matatizo yetu mengi ni ya kujitakia. Alisema kuwa 'Ndani ya nyumba kunapaswa kuwe na suruali moja na gauni moja na kama ukimuachia mkeo avae suruali basi itabidi mume uvae hilo gauni maana hakuna nguo nyingine ya kuvaa'
 
Wanaume ni katika viumbe wanaopotea kwa kasi sana. Huyo mleta mada ndizo samples zilizobaki.
 
Mkuu, hayo maneno hukutakiwa Kuya' bold' ulitakiwa uyaandike kwa wino wa dhahabu kila mwanaume ayaone.
Apumzike kwa amani mzee wetu huyo.
 
Show timee![emoji122] [emoji122]
 
sasa kama anakuigilizia c uache kuchepuka nayeye ataacha.....
 
Inaonekana mapenz yetu bdo ya kitoto mkuu, hebu nipe age yenu
 
Mmeshakua mwili mmoja kwahiyo mnyofanya yanafanana kuwa mpole tu ndio maisha
 
Wewe akili yako ina akili kweli? wote ww na huyo unaedai ni mke wako haziwatoshi.
 
eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!

Ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo

JF kuna vimbwanga sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…