Ana shida ya kisaikolohia, badili mazingira, mchukue nenda bae mbalii hata vacation, toka kwenye hayo mazingiraHabari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Na wewe mpe huduma zake kwa tabu ili ngoma iwe droo.Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Waliambiwa na nani?Ndio maana muliambiwa muoe wanne, huwez kosa kwa wote.
Uzazi una mambo mengi sana hasa wa kwanza, kuna matatizo ya kisaikolojia baadhi ya wanawake huwa wanapata hamu ya tendo inakata kabisa, hasa kama ilikua traumatic birth.Ana shida ya kisaikolohia, badili mazingira, mchukue nenda bae mbalii hata vacation, toka kwenye hayo mazingira
Jadililini kama wapenzi, haya mazingira yatamfanya afunguke
Kuwa busy usimpatie muda atarudi. Mwenyewe. Fanya kama umemsahau hivi atajua tayari una mtu nje. Hakuna kitu kinamtia mwanamke hofu kama kuhisi mwanaume amepata mwanamke mwingine nje. Ukiona hadi hapo yuko vizuri ujue yeye alishatafuta nje muda mrefu. Hapo utaamua la kufanya.Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi saba tulikuwa tukishiriki vizuri tu. Ujauzito ulipofikisha miezi saba, tulipumzika hadi alipojifungua, na mtoto kutimiza miezi mitatu, nikaanza kudai. Zikaanza sababu mara mtoto bado mdogo mara naumia.
Nikaendelea kuvumilia nikadhani shida itaisha. Mtoto amefikisha mwaka ndo tatizo likazidi Ili nipate lazima nilazimishe sana, na wakati mwingine tukifanya hatoi ushirikiano kabisa. Nikaamuliza shida. Nini anasema hakuna tatizo; alikuwa anatumia sindano za kuzuia ujauzito Nikajua ndo sababu, nikamwambia aache.
Bado haikuwa solution. Nimewaambia ndugu zake kadhaa wamemsema, ikiwemo shangazi zake, lakini wapi? Nimejaribu kuchunguza mno kama anacheat, sioni huo uwezekano kwani yeye ni mama wa nyumbani anashinda home tu. Nafikiria kumtaliki, namuonea huruma mwanangu sana kuishi bila malezi ya wazazi.
Naombeni ushauri wakuu nifanyaje
Hv huwa kuna dini inakataa wake 2??Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio suluhisho,
Huo ni uongo na visingizioUzazi una mambo mengi sana hasa wa kwanza, kuna matatizo ya kisaikolojia baadhi ya wanawake huwa wanapata.
Zingatia alichosema Detective J hapo juu!
Acha kuropokaHuo ni uongo na visingizio