Haya mambo ndiyo yanasababisha wanaume waonekane hawana nguvu, hawapendi wake zao, wanamichepuko, kupata magonnjwa kupitia ngono zembe, kupiga nyeti na hatimaye kuvunja familia.
Wanaume wengi mno mno wanapata matatizo haya, tuko under-represented, I wish kungekuwa na proper solution for this very important issue, ila kama ujuavyo wanaume, pride imetuzidi, twaogopa kuchekwa, labda mke hasikilizi na sababu hummegi vya kutosha basi ndiyo kiburi na dharau.
Twateseka sana sana kwa hili suala..Hongera mleta thread, tutashukuru wachangiaji wakija na solutions za kutusaidia..