strong peason
Member
- Sep 25, 2015
- 30
- 1
Awe na sifa zifuatazo 1. Umri 22 -27 2.elim diproma kuendelea 3.Mpore/mnyenyekevu 4.awe m2 anaetambua majukum yake kwang 4.asiwe tegemez kwang kwa asilimia 100 angarau iwe % 60 kushuka 5.mcha mung plz kama haupo seriously usisumbue .Nawasilisha.
Mweeeeeh! Dili nimelikosa!
Uzee huu!
Wew ni KE una umri gani:what::what:
Diproma = Diploma
Mpore = Mpole
Angarau = Angalau
Mkuu jitahidi kuandika maneno kwa ufasaha
Mmmh na wew
Ili ajiongezee sifa mkuu, sikuwa na nia mbaya lakini
Hahaha..umemkosoa ila bado kakosea tena..angalia comment yake ya pili
Ni wazi huyu sio mtu wa kujifunza. Sasa huyo mtu mwenye diproma atampata wapi? Atakesha !