Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,032
- 111,622
Kwahiyo akili zinapotea kwa mvuaMvua ziishe tu, watu akili ziwarudi
Kwahiyo akili zinapotea kwa mvuaMvua ziishe tu, watu akili ziwarudi
Kibaridi hiki cha mvua hua kinavuruga sana akiliKwahiyo akili zinapotea kwa mvua
Jina litakuja nani?😎Popote alipo,
Namba hiyo hapo
Mpaka ziishe tutashuhudia mengi sanaMvua ziishe tu, watu akili ziwarudi
Ukishindwa kuvumilia hali hiyo kwa mda mfupi utaweza kuvumilia ugumu wa maisha kweli?Kibaridi hiki cha mvua hua kinavuruga sana akili
Na ndio zimechachamaa balaa, maombi yanahitajika aki kunusuru hawa kaka zetuMpaka ziishe tutashuhudia mengi sana
Sio rahisi kabisaUkishindwa kuvumilia hali hiyo kwa mda mfupi utaweza kuvumilia ugumu wa maisha kweli?
Na wauza kahawa waongezeke kwa wingiNa ndio zimechachamaa balaa, maombi yanahitajika aki kunusuru hawa kaka zetu
Mnaisingizia mvua bure 😅Sio rahisi kabisa
Tatizo jioni wauza alkasusu ndio wengi, wauzaji kahawa wamepunguaNa wauza kahawa waongezeke kwa wingi
Na wachoma mahindi msiwasahauNa wauza kahawa waongezeke kwa wingi
We ngoja kiangazi kianze kama nyuzi za hivi zitakua nyingiMnaisingizia mvua bure 😅
Akimchukua anaenda kumchakata nyumbani kwao hapo usikute hata chumba hajapanga anaishi kwao anataka mke, manyoko hii ni hatari baridi inapuliza kengele tu😃😃😃😃 wake wamekua adimu
wake wamekua adimu