Afghanistan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,307
- 2,000
Mkuu kila uzi wa namna hii unakuwa mchangiaji tuMkuu upo speed ngiri akasome
Kwani wewe unalichukuliaje?Sijui swala la Mwenza huwa mnalichukuliaje.
Eti Mke anahitajika haraka. Just as if, ni bidhaa ya kuchomoa mahali kisha unalipa na kujibebea mzigo wako.
Bishoo tuliaaya masingke maza kazi kwenu mkachunwe ngozi huko
Unataka niweje ili next time nibadili upepoMkuu kila uzi wa namna hii unakuwa mchangiaji tu
Usijali mkuu,bora uwe hivyohivyo tu siyo mbayaUnataka niweje ili next time nibadili upepo
"Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)"
Shemeji hapo panatia hamu
"Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku."
Halafu hapa panakata hamu.
Kila laheri shemeji upate mke na ndoa iwe ya furaha sana huku mkiinjoi korosho huko
😂😂 tafuta mke chap, tule ubwabwaUsijali mkuu,bora uwe hivyohivyo tu siyo mbaya
Jiandae uje na shemejitafuta mke chap, tule ubwabwa
Nyege tu hizo za kamandaaa ... akishapiga mzigo atakaaa sawa😁😁😅 aya masingke maza kazi kwenu mkachunwe ngozi huko
Hahahaha hamna hiyo kitu aseeNyege tu hizo za kamandaaa ... akishapiga mzigo atakaaa sawa
Halafu●Dini yoyote ila asiwe na msimamo mkali
Halafu jina lako ni Afghanistan huko Kabul kwa watalibaniMIMI:
●Mkristo