Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,976
- 168,956
Hahahaaaa... sio ndio maana huwa mnatuonea sana linapokuja lile swala la Papuchi?
Kwa maana wanaume wanaonekana wapo deperate sana na hio kitu mwanamke anamringia.
Fundi ujenzi mmoja alikua anatupa kisa chake na mkewe akasema alioa mke kule kijijini akamleta mjini. mkewe akabana bana hela ya matumizi na nyingine nyingine akacheza kamchezo gani sijui unaitwa kibati na majirani zake.. ilipofika zamu yake akapokea laki NNE na nusu... kilichofuatia akamwambia mumewe ''sikutaki tena narudi nyumbani' Mume akajua kiburi ni hako kahela maana alikua hajawahi kushika hela nyingi ivo... akamwambia nenda mama. wapi na wapi baada ya wiki mbili kaja kumlilia mumewe? maana vile vihela alienda kujidai kuweka jina kijijini fasta zimeshakauka. kwa kuwa mumewe alikua keshajua ni ulimbukeni wa hela unamsumbua.. akampokea mkewe bahati mbaya jamaa amefariki mwaka jana.
Wanawake hamtabiriki aisee.
ba nso chukua ushauri hapo juu wa Tized hapo juu. Ukiendelea kumbembeleza atakusumbua sana. Siku akikwambia anataka kwenda mwambie sawa we nenda tu mi sina tatizo. Na akifungasha wewe mwache aende. Lakini nakuhakikishia lazima atarudi mwenyewe na hatakaa akusumbue tena.
Nina uzoefu na hicho ninachokuambia ama alichosema TIZED
....kuhusu ndugu kuna ka ukweli hapo, maana jamii zetu hizi nazo, mnh!
Usimkatalie kila jambo mkeo analokulalamikia....huenda ndio sababu kubwa anayohisi
humjali wala humsikilizi kiasi kwamba anaona labda akikwambia umuache utamuacha.
Miaka miwili ya ndoa ni muda mfupi sana. Changamoto za ndoa ndio hizi kaka,
ukisikia for better or worse ndio pamoja na haya....
hizi changamoto ni ndogo mon kwako wewe kuanza ku panic....
Mwenyezi Mungu akuzidishie mapenzi kwa mkeo, na baada ya miaka kumi na ushee nawe utasimama kifua
mbele kutoa #Wosia kwa ndugu jamaa na marafiki zako ambao watakuwa wanaingia kwa mara ya kwanza kwenye maisha ya ndoa wakidhania ndoa ni #Lelemama ...
Kila la kheri.
Watu wengine kama mimi asee ukizingua you will get a sandpaper massage!!!!!!
Shikamoo!!
Napata wasiwasi sana na uwezo wako wa kumdu ndoa. Wanao watateseka vipi? Popote walipo unao uwezo wa kuwatunza wasipate shida. Zaidi sana watakumiss wewe baba yao. Mara zote wenye mawazo ya ....kwa ajili ya wanangu..... Ni akina mama. Au unaandika story ukijifanya mwanamke?kwa Kweli nakosa raha sana. uamuzi unakua mgumu kwangu kwaajili ya wanangu
Unaona mwenzio huyo kila saa anaataka kurudi kwao!!!!!
ni kweli unafanya hayo maswala na ana ushahidi wa usaliti wako?
Kama ni hivo badirika na ufanye kile anachokitaka yaani husiwasiliane na wanawake hovyo pia kama unaishi na ndugu jaribu kuwa mbali nao ili muwe na amani ktk ndoa yenu!
Pole sana kiongozi!
Naomba ushauri, mimi ni kijana miaka 28 mke wangu umri huo pia, tumeanza kuishi pamoja 2012 baada ya kumpa Mimba.
sasa mwenzangu ni jeuri kiasi na ana wivu sana na sim zangu.
Shida kila wakati ataka tuachane, kwasasa anadai ndugu zangu hawampendi na pili mimi ninawasiliana na wanawake sana.
Anataka tuachane tuna watoto 2, nimekua nikimuomba aachane na hayo mawazo kwa muda Sasa.
Naomba wenye uzoefu nishauri nifanyeje?
Ona sasa.....
huyo hana ishu akikuambia anaenda mruhusu mwambie kama huo ndo uamuzi wake
akitoa mguu nje ya nyumba asirudi tena
Asante
Ila akikuzingua sana usijali es is single....