nakumbuka rafiki yangu wa kike alikuwa na gari ambayo ilikuwa imenunuliwa na mumewe (but kwa mkopo wa mama) na gari hiyo ikaandikwa jina la mdogo wake mama ambaye aliwagaia exemption yake. Baada ya muda ile gari Mr akaamua kuiuza ila kwa makubaliano kuwa anataka amnunulie mkewe gari ya kutembelea- (huyo Mr naye analo gari lake-kwa jina lake) sasa after kununua ile gari ya wife akaandika jina lake Mr- bila kuweka Mr and Mrs wala jina la mtoto!! Kama una mke mwenye kufikiria mbali ni lazima ataona ubinafsi hapo.
So mimi simlaumu kabisa huyu mama ila namshauri tu atafute vya kwake- hivyo vya mumewe afight viwe mali ya wana wao.
Kwani ukiweka Mr & Mrs Ngoshwe ina maana mkiacha au kutengana hilo neno "MRS" linatakusaidia? Kama nilikuwa na ma "MRS" wengine chochi wakaibuka na kusema "mimi ndo MRS mwenyewe" utabisha kama jina lako halipo?. Cha msingi ni kuona kuwa mali na matakataka mengine yote ni ubatili tu na utu wa mtu ni zaidi ya hayo. Mke au Mume ambaye ana anza kuzungumizia masauala ya mali binafis katika ndoa ni hatari sana. Jaribu katika maisha yako yote kutafuta jambo liliko jema ambalo ni kuwaachia watoto urithi wa elimu ambayo haitapotea kamwe, nyumba na gari si urithi mwema!.
Ni busara pia hata kwenu wanawake, kutuhimiza tuzae watoto wa kutosha na kusomesha vizuri, manake ikiwa mtoto amesoma kama mumeo akikuona kimeo na kukuacha, mwanao msomi ataweza kukusaidia ikiwemo hata kukujengea hiyo nyumna na kukununulia hilo kwa jina lako!.

Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...
Yaani ghafla ghafla tu hivyo? Mhh,sasa kama kakukuta nayo mbona anataka wewe uandike kwa jina lake mkuu?
Hebu ongea nae tu vizuri bila kumuonyesha kwamba umemgundua kuwa na tamaa.Mwambie huoni sababu kwa nini jina libadilike,nyumba ni yako na mnaitumia kwa manufaa yenu wewe na yeye pamoja na watoto wenu.Sasa hii haki ya kubadili jina anaitoa wapi?na wewe mwambie umezoea baba yako huwa anaandika mali zake kwa jina lake,full stop
Sijui huwa anakuwa katika mazingira gani wakatia akitoa mapendekezo kama hayo
Mi naungana na wazo la mkeo. ila sio lazima kwa nyumba hii aliyokukuta nayo,mkiweza kujenga nyingine itakuwa wazo zuri kusovu hii tatizo.nimeona wengi wakifanya hivyo wanandika majina ya wake zao kwenye mali zao. sababu kubwa ni kulinda future yao ikitokea wewe unatangulia mbele ya haki. atakuwa salama kwani ndugu zako hawata mgasi.ikitokea yeye ndo katangulia, hakuna mtu atakuja kutaka kujua mali zenu mlizochuma na mkeo. ila ukitangulia wewe lazima mali zitagawanywa na yeye ndo atakuwa looser.Hivyo mfikirie. kama unaona ni ngumu, basi mwabie asubiri nyumba mtakayojenga nyingine, hii aiache.[/QUOTE
Wrong!!!. Juzi juzi tu hapa kuna mtu kanyang'anywa gari la mke wake na kaka za marehemu kwa sababu tu lilikuwa limesajiliwa kwa jina la marehemu mke wake. Nadhani suluhu ni kwa mme/mke kuandaa wosia utakaoleleza mali zitagawanywa vipi ikiwa mmoja wao atatangulia kwenye haki.
juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona