Curious Naturally
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 528
- 523
.. Mwanangu, hebu nieleweshe mama yako, ni "girlfriend" au ni "mchumba"? maana umetumia yote haya mawili kumuelezea huyu mkwe wangu. Si unaelewa kuwa hivi ni vitu viwili tofauti? Are you just dating or do you plan to marry her? All I can say is - "LOVE surpasses all" and at the end of the day, the rules of the games are the same kwa waliopishana miaka and vice versa. Mungu akujalie uweze tambua yule aliekuandalia weweJaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
Mbele ya safari mambo yatakuwa magum kumbuka wanazeeka haraka .
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
Whoever lied to you age is just a number shemeji kipenzi!??
Kiukweli haka kamsemo kanawafariji sana watu. Lakini, boy, ukiwa na miaka 22 kwa hesabu za haraka kijana anapaswa kuwa masomoni na binti wa 24 years angekuwa anachumbiwa na kijana wa miaka 27+
shemeji kipenzi, kuna haka kamsemo kanasema ' age is a man made system for measuring our own rate of decay, not for measuring who we should fall in love with'
naomba kamtie moyo mtoa mada!!!!!!
kinachotakiwa katika mahusiano ni maelewano na kuheshimiana tu,wanasaikolojia wanasema mwanamke huwa anapenda sana kusikilizwa na mwanaume.ushauri wangu ni kwamba umri ni namba tu,kinachotakiwa sikilizaneni na mfanye mpenzi wako kuwa kama rafiki yako,mtafika mbali sana.ubabae nojaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
Cc: Asprin ...ona wajukuu zako.
Age Reflects Maturity.
mnaweza kufanya hivyo but inategemea na wewe ni mwanaume wa aina gani...mfano kama unamambo ya utoto kidogo...ni wazi anaweza kukuchoka mapema maana mwanamke hupenda kuongozwa hata kwa asilimia fulani,kwa case ya huyu ana xperience na wakubwa zako na pia ametanguli kuona jua...kama wewe ni mbandidu kiasi au mwenye itakadi za kikoloni unaweza ukakaa nae!If you're compatible and you love each other, don't worry about 2 little years....! We muoe tu!!!!! Kwani age si ma namba namba tu, yasikuogopeshe!!!!!!!