Mke amzidi mume umri wa miaka 2.

Mke amzidi mume umri wa miaka 2.

Emhegele

Senior Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
122
Reaction score
6
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
]

nafurah kwa michango yenu ya mawazo mazuri. NAPENDA KUONGEZA TENA MAADA. Kielimu yeye yupo 4m 2 ( ni kutokana na mambo kadahaa yalimpata huko nyuma akasimama shule kwa muda ) na anajitahd sana shulen maranying yupo kwenye tano bora, na mimi nimehitimu kidato cha 6. Mwaka 2012 nkashndwa kutuma maombi ya chuo (nilikuwa na den shulen vyeti vilizuiliwa) mwaka huu nimechaguliwa kujiunga na chuo kimoja wapo hapa Tz (MWUCE) sikujiingiza ktk mapenz hapo kabla na nimejikuta nipo ktk penzi lake zito, kiukwel ana umbo dogo kimwil unaweza kusema ana miaka 20 ukimuangalia ghafla! Kiukwel nafarijika kuwa nae na ananipenda hivo tunatarajia kuwa mke & mume hapo baadae. ILA NAPENDA KUSIKIA MENG KWENU KUHUSU UTOFAUTI WA MIAKA ila jaman SI KUMUACHA! Teh teh teh Ahsanteni
 
... Mmmm! Wasiwasi wangu ni mbele ya safari...

...fetching data.....
 
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.

kamata piga papuchi dogo usilembe kwani hujui age is just a number..
 
Ukiona wewe binafsi huna jibu la swali ulilotuuliza basi ni dhahiri hujafikia umri na ukomavu kiasi cha kuingia kwenye mahusiano.

Kwa mujibu wa gender zenu, at the age of 22 wewe ni mtoto unayesumbuliwa na balehe na yeye at the age of 24 ni mwanamke desperate.

Huyo anawajua wanaume tayari, na wewe unataraji kuwa huyo ni msichana kwako......jiangalie.
 
4 the fact ya umri si tatizo kwa sas ila baadae atachoka mapema kama hakuna matunzo ya kutosha,ushauri wangu,kama umempenda na mnapendana bas hakuna tatizo then kwa umri wenu huo ndoto za kuoa bado,go on and practice more but nashauri pia mwanaume amzidi mwanamke miaka 5 n above had 10,co lazima sana wala haina mantinki yeyote,ni kwamba mwanamke huwa msikivu zaid kwako,ila co wote,ok wew
 
If you're compatible and you love each other, don't worry about 2 little years....! We muoe tu!!!!! Kwani age si ma namba namba tu, yasikuogopeshe!!!!!!!
 
If you're compatible and you love each other, don't worry about 2 little years....! We muoe tu!!!!! Kwani age si ma namba namba tu, yasikuogopeshe!!!!!!!

Whoever lied to you age is just a number shemeji kipenzi!??
 
Kibongo bongo not applicable,halafu utamuitaje demu wako wakati hujamuonja?hujui kama kitu yake ni tamu au oversize n.k?huyo sio demu wako huyo kwanza mwenzio yuko umri wa kuolewa na wewe upo umri wa kupiga nyeto

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Gf and BF with 22 and 24 years? Tunashauri wake na waume zao acheni ujinga someni!

Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
 
Gf and BF with 22 and 24 years? Tunashauri wake na waume zao acheni ujinga someni!

Mkuu kama nimemsoma vizuri amesema wao ni wachumba tayari kwa mwaka mmoja sasa.

Kinachonishangaza wakati anachumbia na kutoa mahari ishu ya umri hakuifiria mpaka aje aulize huku. Tukimwambia hafai nadhani ataenda kudai mahari aliyotoa.

Mimi miaka 22 nlikuwa bado nasoma.
 
Whoever lied to you age is just a number shemeji kipenzi!??

Kiukweli haka kamsemo kanawafariji sana watu. Lakini, boy, ukiwa na miaka 22 kwa hesabu za haraka kijana anapaswa kuwa masomoni na binti wa 24 years angekuwa anachumbiwa na kijana wa miaka 27+
 
Kiukweli haka kamsemo kanawafariji sana watu. Lakini, boy, ukiwa na miaka 22 kwa hesabu za haraka kijana anapaswa kuwa masomoni na binti wa 24 years angekuwa anachumbiwa na kijana wa miaka 27+

Mfumo wa 7-4-2-3 sio kila mtu aliefanikiwa anaufuata bro
 
Kiukweli haka kamsemo kanawafariji sana watu. Lakini, boy, ukiwa na miaka 22 kwa hesabu za haraka kijana anapaswa kuwa masomoni na binti wa 24 years angekuwa anachumbiwa na kijana wa miaka 27+

Senkyu baba...halafu nakutafuta!!!
 
Mfumo wa 7-4-2-3 sio kila mtu aliefanikiwa anaufuata bro

Well, nimekusoma mkuu.

Japo kwa maoni yangu bila kujali chochote miaka 22 bado kijana ana mengi ya kujifunza kabla hajaoa. Ndoa ni taasisi ngumu sana kuiongoza.

Ni ushauri wangu binafsi lakini.
 
Utofauti hauna shida...

Lakini umri ulionao ndio concern yangu kubwa...

Muda si mrefu kama sio wakati huu, huyu mdada ataanza kuhitaji ndoa kwani umri huo ndio mwanzo wa wanawake kuanza kuwa na matamanio hayo.

Wakati mwenzako yupo hatua moja zaidi yako, kwa mwanaume wa umri wako suala la ndoa huwa sio kipaumbele kabisa. Ni umri ambao ndio kwanza akili inaanza kuchanganya namna ya kufanikiwa kiuchumi.
Ni wakati wa kupanga mikakati kadha wa kadha, in short huo ndio mwanzo wa lile rika ambalo sisi wanaume huwa wabinafsi sana. Katika stage hii ndipo ambapo wanaume wengi hujikuta tunawatenda wanawake tutakavyo.
 
Back
Top Bottom