Mke aliniibia katoroka leo anaomba msamaha arudi

Mke aliniibia katoroka leo anaomba msamaha arudi

ila nyie wanawake nyie!!! sijui mna vimelea gani kwenye medula zenu
 
mtu kaja kuomba msamaha harafu ana kublackmail. we ni bwegge sana. mtimue ila usiache kutuma matumizi ya mtoto.
 
niliishi na mwanamke tukapata mtoto mmoja ikatokea cku moja nipo kazini kasomba vitu vyote katoroka siku hizi anabembeleza eti nimsamehe shoga yake ndo alimwambia atoroke karudi na mwanangu kwangu nikimfukuza ataondoka na mtoto anadai sitakuja kumpata huyo mtoto tena .kwa upande wa sheria bado anaharali ya kubaki na mtoto yaani mtt yk chini ya miaka saba naombeni ushauri nimtimue mtoto atakuja baadaye kunitafuta au nimsikilizie wakati namlea mtoto wangu? ushauri tafadha

Si kila mtoto chini ya miaka 7 ni lazima alelewe na mama kutakana na kuachana au kutengana.

Generlly, mama anatakiwa abaki na mtoto kwa vile inaaminika under 7 wanahitaji matunzo kupitia mama zaidi hiyo ni kutokana na huruma zao pamoja na uwepo/utulivu wao nyumbani. pilika zote hizo ni kutafuta tu good interest za mtoto zinapatikana kwa urahisi zaidi.

But ikionena tu interest za mtoto hazitapatikana chini ya uangalizi wa mama, mtoto huyo atakuwa chini ya uangalizi wa baba. na mama atapokonywa mtoto huyo ikiwa tu mtoto huyo ameshatimiza miaka miwili. (aliemaliza kunyonya)

Wanavyovizingatia:
Kauli ya mtoto. (not conclusive)
Malezi (maadili ya mtoto)
Material needs.
...
Mkuu kisheria iko hivyo.
 
niliishi na mwanamke tukapata mtoto mmoja ikatokea cku moja nipo kazini kasomba vitu vyote katoroka siku hizi anabembeleza eti nimsamehe.....

naombeni ushauri nimtimue mtoto atakuja baadaye kunitafuta au nimsikilizie wakati namlea mtoto wangu? ushauri tafadha

Kabla ya ushauri: Kwani wewe akiri yako inakutuma kufanya nini? nadhani inapaswa kwanza kuweka wazi msimamo wako then watu wakushauri pros & cons za hicho unachotaka kufanya. Otherwise watu watapuyanga tuuu kumbe mawazo yako yapo kwingine kabisa
 
Anakutishia na we mwaname mzima unatishikaaaaa......amerudii kuuza nyumba sio kuwa na ww......ningekuwa ww ningemkamata nameitwia mwiziiiiiiii eboooo wanawake wote hawa duniani bdo unamtaka
 
hiyo kawaida mbona, we kama unampenda kubali yote, m namjua dada mmoja alkua anakaa na mwanaume bila kuoana wakagombana akasomba kila kitu ndani, badae akarud na mume kamuoa, na hawana hata motto, sembuse wew ulyezaa nae, mapenzi upofu babu eeh ukisema uangalie makosa yake hamtofika...

Mnajuana kwa viremba bibi ww
 
pole sana kwa hlo.we kabla hamjafanya makubaliano kuwa arud nymbn inabdi umshawish mkapme kwanza huwezjua alpoondoka alfanya mambo gan huko nyuma alafu ukijua nimzma msamehe ulee mtoto wako

Ukipima tabia ya wizi inaondila automatically?
 
Kumbuka watu wanavumilia mengi kwenye ndoa kwa SBB ya watoto!!watu wanasalitiwa lkn wanasamehe kwa faida ya watoto!cha msingi kama aliondoka kitambo hakikisha mnapima VVU!

Akapime VVU? Vipo Vingi Utaibiwa (VVU) au unamanisha nn?
 
hiyo kawaida mbona, we kama unampenda kubali yote, m namjua dada mmoja alkua anakaa na mwanaume bila kuoana wakagombana akasomba kila kitu ndani, badae akarud na mume kamuoa, na hawana hata motto, sembuse wew ulyezaa nae, mapenzi upofu babu eeh ukisema uangalie makosa yake hamtofika...

wanawake ktk kutetea upumbavu wao
 
Duh haya mambo magumu kushauri, nishawahi kumshauri mtu duh kaishia kwenda kunipakazia ubaya kwa mpenzie
 
Ndugu,
Watanzania wameibiwa bilioni kadhaa za escrow na wamesamehe na kusahau....

Wewe furniture tu umekomaa

Msamehe mwenzio mlee mwanenu
 
Mmmh ka nakuona vile......... ok jitahid kufanya maamuz magum kdogo ya busara ukiangalia mbali zaid na yenye kumpendeza mungu kulingana na imani yako,usiangalie watu.JF miluzI mingi,haikawii kumpoteza mbwa.DONE!!!
 
Atakusumbua tena huyo.

Ameshaona umeshajipanga upya, kuwa makini sana.

Tabia ya wizi, udokozi kwa kweli ninapomwona au kusikia mwanamke mwenye tabia hizo huwa nashindwa kabisa kuelewa
 
duuuhh! mama zetu kazi wanazo!!! watalea wangapi jamani!?? watulee sisi na mizigo yetu tuwape tena?? watapumzika lini sasa!!!

Nina imani atakua anaprovide basic needs kwa mwanawe mama atabaki kama mwngaliz wa karibu
 
tatozo mama mzazi alifariki borabangekuwa hai ningempelekea mwanangu ndugu siwezipa mzigo wa kumlea mwanangu
 
tatozo mama mzazi alifariki borabangekuwa hai ningempelekea mwanangu ndugu siwezipa mzigo wa kumlea mwanangu

Wekeaneni makubaliano kua utakua unalea mwanao akiwa mikononi mwake ila swala la kumrudia asahau ktk maisha yake
 
Back
Top Bottom