Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,174
- 111,109
Ungekuwa wewe umefumania ungetoa adhabu gani?
Ningemfumania nani?
Kaka haya matukio kuna wanafamilia huwa wanapanga ili kujipatia kipato...
Ninyi huku nje mnaona kama ni fumanizi kumbe wenzenu wanacheza movie.