Ataziunganishaje na Bandari za zanzibar wakati wanasema Bandari sio suala la muungano?Ingeziunganisha na bandari za Zanzibar ningeamini.Lakini alivyofanya namuona hatutaki afya .
Akazikwa nayo lupaso; au bado ipo ofisini?Mliikataa Net Group Solution lakini Rais Mkapa akaileta na kuiingiza ofisini kwa mtutu wa bunduki.
Maana yangu ni kwamba, wananchi hawana uwezo wa kuizuia serikali kuwapa DP world bandari zetu. Wananchi wapende DP world atakuja, wananchi wasipende DP world atakujaAkazikwa nayo lupaso; au bado ipo ofisini?