Mkataba wa Bandari: Profesa Tibaijuka arudisha shambulizi kali kwa Albert Msando. Asema 'aliyedandia mtumbwi wa vibwengo atajulikana tu...

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Kupitia mtandao wa Twitter, Anna Tibaijuka amemfunza adabu Albert Msando adabu na kumtaka kuwa makini anapojibu hoja vinginevyo atakuwa anadandia mtumbwi wa vibwengo..

Mkataba wa Bandari. DC Albert Msando. Unanikejeli ninapotosha neno anga lipo kwenye TERRITORY ambayo unadai ipo definitions tu. Nakuletea ushahidi neno territory na dhana yake lipo sehemu kadhaa ibara 12(1); 19; 30(2). Kwa mantiki hiyo aliyevamia mtumbwi wa vibwengo atajulikana.

Tibaijuka.png
 
Mlinzi kalambishwa asali unadhani atapiga mluzi kuwa kuna wizi unatendeka.

Hao kina msando ndio wale wale.
 
Yaani Huyu bibi Bomba Ndio atulie kabisaa,maana alisemaga kauli Hadi Leo Naskia uchungu sana.Mimi iuzwe isiuzwe watajua wenyewe.
 
Yaani Huyu bibi Bomba Ndio atulie kabisaa,maana alisemaga kauli Hadi Leo Naskia uchungu sana.Mimi iuzwe isiuzwe watajua wenyewe.
Mzee,mtu hukosea na hupatia pia.Hakuna Binamu aliye perfect 100%,Muhimu ni kuangalia ukubwa wa kosa,Mtu mmoja msomi wa Falsafa alipenda Kusema "No human being without evils,the important thing is that you choose a lesser evil".

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom