Kaka kahtani Waonaje asubuhi ya leo, Bingwa wangu Lugha yetu hii ya kiswahili ni katika lugha chache hapa duniyani ambayo in fahamika na kuzunguka miongoni mwetu kwa urahisi na radhaa na bila kupaza sauti au kukamuliana wanapo zungumza wana wa mikoa na kabila mbalimbali.(tafauti na lugha za kiafrika zingine ni kufokeana tu). Kiswahili ni zawadi kwetu na tuitunze japo kwa matamshi yetu ya namna uliyo zitoa, La umuhimu ni lugha ambayo imetuunganisha na kupendana kuitumia. Laa kama ipo lugha imetayarishwa basi imwageni humu tuitafakari!! kila la Kheri na wote muwesalama salmin..