the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 837
Humu humu Jf juzikati nimekuta watu wanamfagilia Vanessa Mdee kama vile mziki kaanza miaka ya 47,mara wapuuzi wengine oooooh kama nisingekuwa nimeoa ningemuoa,mara wengineee oooh ni msichana mrembo vibaya wakati hakuna lolote.Hii Bongo Mungu anisaidie niondoke haifanani na mimi kabsaaaaaaaa:bored:Umaarufu mnawapa nyie wenyewe kisha mnawashangaa!...sina wivu nao kabisa lakini hawa jamaa bado wana njia ndefu ya kwenda
tatizo ukiwawleza kweli wanakuona mkama unawaonea wivu, au wanakuuliza wewe umetoa single gani? kama unaelewa umaarufu unaendana na mambo mengi ya msingi, ndiyo maana wenzetu wana ajiri mtu wa kumshauri kibiashara ( pamoja na matumizi ya pesaO) na kimawasiliano katika jamiiHumu humu Jf juzikati nimekuta watu wanamfagilia Vanessa Mdee kama vile mziki kaanza miaka ya 47,mara wapuuzi wengine oooooh kama nisingekuwa nimeoa ningemuoa,mara wengineee oooh ni msichana mrembo vibaya wakati hakuna lolote.Hii Bongo Mungu anisaidie niondoke haifanani na mimi kabsaaaaaaaa:bored:
tatizo ukiwawleza kweli wanakuona mkama unawaonea wivu, au wanakuuliza wewe umetoa single gani? kama unaelewa umaarufu unaendana na mambo mengi ya msingi, ndiyo maana wenzetu wana ajiri mtu wa kumshauri kibiashara ( pamoja na matumizi ya pesaO) na kimawasiliano katika jamii
Kipindi kimerudiwa leo nikakiona kwa muda mfupi...lakini nilichokiona ni kituko. Jokate kaulizwa kama alisha kuwa na mahusiano na Hashim Thabeet akajibu kuwa hajui. Jibu ambalo sikutegemea kabisa kulisikia. Ni sawa na mkubwa mmoja aliulizwa kwanini nchi yako maskini na wakati ina rasilimali kibao akasema hajui. Dah
Humu humu Jf juzikati nimekuta watu wanamfagilia Vanessa Mdee kama vile mziki kaanza miaka ya 47,mara wapuuzi wengine oooooh kama nisingekuwa nimeoa ningemuoa,mara wengineee oooh ni msichana mrembo vibaya wakati hakuna lolote.Hii Bongo Mungu anisaidie niondoke haifanani na mimi kabsaaaaaaaa:bored: