Mkasi na Mrembo Kidoti

Shortly katia aibu!! Binafsi sikutegemea kama upeo wake uko low kiasi kile!
 
Shortly katia aibu!! Binafsi sikutegemea kama upeo wake uko low kiasi kile!

mi tooo!!Kuna wakati hadi yule mpaka rangi niliona kama kamshangaa akamkodolea macho kabisa kwamba mmh kumbe anaongeaga hivi
 
..haka katakuwa kamelewa sifa za kijinga coz kalijipatia sifa pale "mwenzake" wema sepetu alivyoboronga na kuonekana mara mia ya haka katoto

Hobby yake ya kusoma vitabu na Masters ya I.R havijamsaidia

classmate wake Nikki wa II, akiwa kwenye interview unasema kweli elimu imepanua upeo wake
 
Mtoto anaongea ka chiriku,mpaka salama alikosa mda wa kumuuliza maswali haongei kama msomi kabisa.
 
ahahhahahah akija kusoma hizi comment zote humu naamini ataacha kabisa career zake zoooote (modeling,music,actress,enterpreneur,author etc) ahhahahahah
 
Kuna muda alisema yeye alikuwa maarufu tokea shuleni,mliosoma nae mtujuze jamani huko shuleni alikuwa na umaarufu wa nini?
 
Hata Kajala ambaye shule hamna hakuongea vile ni katulia mwanzo mwisho.
 
salama alisema unamjua Lundenga? Mtoto faster akata kutiririka, salama akamtel aaanh! Ngojea kwanza bado sijakuliza swali..!
Dah, kidoti alipania sana bhana!
 
Nilikuwa namkubali sana lakini alivyoliwa na domond tu nikamtoa maana ingawa luv doesn't ax y!
 
mi nilimsubiria kweli pia ila naomba nitafute kwanza kitu positive jana then mengine yatafuata
1.Alikuwa na pochi nzuri
2. hajajipiga ma make up kibao simple, hereni simple
3. Kasema baba yako akikukosea usimtukane
Guys mnisaidie basi kuweka positive kdg basi!!
ila bwana ukweli ni kuwa amenidisappoint halafu nilivyokuwa nimepania kuangalia.Kwa kweli alikuwa anajichekesha sana salama naye anauliza maswali ya hovyo majibu its like..., i don't know...., that one is nice.......mbwembwe nyingiiiii!Binafsi mi naona kapigwa bao na wale waliotoka jela kwa utulivu wakati wa interview. halafu nikajua ni mimi mwenyewe ndo nimeboreka.

Kama utapita kwenye uji huu mamaaa!mi naomba tu ujipange Watz wana matarajio makubwa sana kwako usilewe sifa bado una safari ndefu ila mimi binafsi nilianza kuwa na wasiwasi na wewe tangia nilivyosikia umetoka na Diamond!
 
salama alisema unamjua Lundenga? Mtoto faster akata kutiririka, salama akamtel aaanh! Ngojea kwanza bado sijakuliza swali..!
Dah, kidoti alipania sana bhana!
Nami nilinote hilo ali over do maskini sijui alipania au alipanic?
 

Mmh watu mmh
 
Kipindi kimerudiwa leo nikakiona kwa muda mfupi...lakini nilichokiona ni kituko. Jokate kaulizwa kama alisha kuwa na mahusiano na Hashim Thabeet akajibu kuwa hajui. Jibu ambalo sikutegemea kabisa kulisikia. Ni sawa na mkubwa mmoja aliulizwa kwanini nchi yako maskini na wakati ina rasilimali kibao akasema hajui. Dah
 

Miaka mingi zaidi ya 15 iliyopita tulikuwa tunajadili maisha na kati yetu alikuwepo jamaa m'moja ambaye alikuwa na matatizo ya akili...katika yale mazungumzo kuna mtu akasema, 'mtu unatakiwa kuwa na shamba lako halafu unakuwa na mazao tofauti-tofauti miembe-migomba-nk" basi yule chizi akasema "nyie wabongo ndio maana hamuendelei ukitaka kulima chagua kitu kimoja hakuna mkulima anayelima kila kitu...ilikuwa kitu kidogo lakini kimenikaa akilini mpaka leo.
 
Nilidhani nilikua peke yangu nliyekereka, sikuamini kama ni yy ati, aliboa sana.
Kujichekesha ovyo, misifa ya uongo, kujibu tofauti na anachoulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…